Wema Sepetu azimia msibani kwa Kanumba!

Wema Sepetu azimia msibani kwa Kanumba!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
4,596
Reaction score
1,236
Ni kwenye msiba wa hayati Steven Charles Kanumba. Hisia zamzidi na kuzimia. Akimbizwa hospitali!
Recently+Updated.jpg

Picha kwa hisani ya Michael Mlingwa
 
Mungu ailaze roho ya THE GREAT mahali pema....naikumbka saana RED VALANTINE dah!! Yeye ametangulia na cc 2po njiani...sote 2tarjea kwni dunia 2napita ni kma njia 2 but kwe2 ni hkoo
 
Hata James Ilikuwa Hivi hivivi......lakin nadhani Dandu...(sinta, sijui nani alizimiaa!) Aaaagh! Wote wasukuma!! wote vifo vyao ni ka-ulabu/ mademu/ accident!!!!!!!!!! Vijana wa kisukuma vipi Pombe na.........!!! ( watani zangu)
 
Wanajua "Kudondokea"
 
sina imani na kuzimia kwa wema,labda kweli lkn sitashangaa kusikia alizimia ili camera zifocus kwake.
hapo atawapigia simu waandishi kuuliza kama walimuona alivyozimia.
R.I.P Great man
 
Co kiivyo jaman kwan ye hana hisia!!! By the alkua mwandani wake lazma aumie.

asipojiangusha nani atajua kuwa msiba umemgusa? ansema uhusiano wake na kanumba ulikuwa haujaisha mbona alipovunja kioo cha gari la kanumba hakusema hayo?
du wema bana achana naye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom