Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,031
no way. amekua queen of social media lini? kapokelewa na watu hawafiki 10 ndio malkia.
wivu ni kidonda.
no way. amekua queen of social media lini? kapokelewa na watu hawafiki 10 ndio malkia.
Lakini ninampenda Wema ma vituko vyake. Mara kanyang'anywa gari na mume wa mtu, mara kamtukama house girl mtaa mzima unasikia na mwenyewe anasema ana mambo ya kizungu lakini wazungu hawachezi vigodoroKweli nakuambia sa hv vile vitimu vyake vimebaki mbao za matangazo ya biashara!kukuza uume na kuongeza makalio
Hakuna chochote zaid ya bata ndefuu tu kukodi helcopters kutembea na wapambe lukuki!Hukujua kuwa u-Tanzania sweetheart unachuja umri ukifika, hata hivyo Wema ameifanyia nini jamii alipokuwa maarufu?
Hajawahi kuwa balozi wa wenye ulemavu au watoto wa mtaani au hata wenye magonjwa sugu.
hahahahahahahaha wanawake nyie hapana aiseeeeeKweli nakuambia sa hv vile vitimu vyake vimebaki mbao za matangazo ya biashara!kukuza uume na kuongeza makalio
Ile nafasi angeitia vyema hata viti maalum angekumbukwa lakini mambo hayo yanatokana shule auvwashauri wazuri. Sasa wakati ulevwashauri walikuwa Snura Chita na Aunt EzekielHakuna chochote zaid ya bata ndefuu tu kukodi helcopters kutembea na wapambe lukuki!
Hawezi kua Balozi ana nyodo yule sana...!!!
Aangalie asitutie hasara nyingine hapa,ya Ndikumana imetosha.
Wema kinachomfanya Uzungu ni kingereza but hana tofauti na gigy money na kingine kile kisauti chake cha mapozi baasi!ana mitusi yuleeLakini mimpenda Wema ma vitu ki vyako. Mara kanyang'anywa gari na mume wa mtu, mara kamtukama house girl mtaa mzima unasikia na mwenyewe anasema ana mambo ya kizungu lakini wazungu hawachezi vigodoro
Wivu upi?wivu ni kidonda.
Washauri wa wema mashoga na mashangingi ya mjini kina Joan na junaitharIle nafasi angeitia vyema hata viti maalum angekumbukwa lakini mambo hayo yanatokana shule auvwashauri wazuri. Sasa wakati ulevwashauri walikuwa Snura Chita na Aunt Ezekiel
Wivu upi?
What ze duduz wa Madame b?hahahahahahahaha wanawake nyie hapana aiseeeee
akafie jela tena? mmekuwa miungu si bureNa bado achague kuwa ccm au akafie jela,,mwaka huu mgumu sana
What ze duduz wa Madame b?
Wadada wa kitanzania mnapondana...wema kapokelewa na mamia ya watu mnabishaaa
nampenda sana wema tena mnoookwanini hampendani
Ukishiriki utakondakidonda