Wema Sepetu apokelewa kama Malkia nchini Rwanda, aeleza kilichompeleka

Kweli nakuambia sa hv vile vitimu vyake vimebaki mbao za matangazo ya biashara!kukuza uume na kuongeza makalio
Lakini ninampenda Wema ma vituko vyake. Mara kanyang'anywa gari na mume wa mtu, mara kamtukama house girl mtaa mzima unasikia na mwenyewe anasema ana mambo ya kizungu lakini wazungu hawachezi vigodoro :D
 
Hukujua kuwa u-Tanzania sweetheart unachuja umri ukifika, hata hivyo Wema ameifanyia nini jamii alipokuwa maarufu?

Hajawahi kuwa balozi wa wenye ulemavu au watoto wa mtaani au hata wenye magonjwa sugu.
Hakuna chochote zaid ya bata ndefuu tu kukodi helcopters kutembea na wapambe lukuki!

Hawezi kua Balozi ana nyodo yule sana...!!!
 
Hakuna chochote zaid ya bata ndefuu tu kukodi helcopters kutembea na wapambe lukuki!

Hawezi kua Balozi ana nyodo yule sana...!!!
Ile nafasi angeitia vyema hata viti maalum angekumbukwa lakini mambo hayo yanatokana shule auvwashauri wazuri. Sasa wakati ulevwashauri walikuwa Snura Chita na Aunt Ezekiel
 
Lakini mimpenda Wema ma vitu ki vyako. Mara kanyang'anywa gari na mume wa mtu, mara kamtukama house girl mtaa mzima unasikia na mwenyewe anasema ana mambo ya kizungu lakini wazungu hawachezi vigodoro :D
Wema kinachomfanya Uzungu ni kingereza but hana tofauti na gigy money na kingine kile kisauti chake cha mapozi baasi!ana mitusi yulee
 
Mbona sijaskia hata habari zake na jana usiku nilikuwa club maharufu rosters maeneo ya Remera lakini sikukia habari zake.
 
Ile nafasi angeitia vyema hata viti maalum angekumbukwa lakini mambo hayo yanatokana shule auvwashauri wazuri. Sasa wakati ulevwashauri walikuwa Snura Chita na Aunt Ezekiel
Washauri wa wema mashoga na mashangingi ya mjini kina Joan na junaithar

Hayamtakii mema wanajua akitusua atawaacha at least sasa hivi kapoa sana anajitahid japo hawezi anatamani drama aziendeleze!
 
Back
Top Bottom