Wema Sepetu anamdanganya nani!? Huu siyo Ulimbukeni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wema Sepetu anamdanganya nani!? Huu siyo Ulimbukeni?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Matola, Jun 18, 2012.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 2. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Dokta Mama Ngoma ndio nani? Unamaanisha 'Dokta' kwenye hospitali ya Mama Ngoma (I doubt kama anweza miliki nyumba kaka hiyo)...au unamaanisha Mama Ngoma mwenyewe? Mama Ngoma si Dokta..mumewe (Dr Twalib Ngoma) ndio Dokta.
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Siyo mimi niyasemayo hayo, hao ni KIU, na ndio maana kwa sababu hapa JF kuna secretary wa Wema Sepetu, huyu so called Mrembo by Nature anaweza kutusaidia hii habari.
   
 4. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,817
  Likes Received: 36,920
  Trophy Points: 280
  Kuna vitu nili-note kwenye ile interview ila nilikaa navyo moyoni nikihifia kuambiwa nina wivu.
  Kama ulimsikiliza Wema kwa makini ktk mahojiano yale, neno 'Nilivyopapa hii nyumba/Nimepata hii nyumba' lilitumiwa zaidi ya mara tatu na dada Wema, kwa mtu mwenye kujua Psychology lazima utagundua kuna walakini.
  Pia kutokutaja amount ya nyumba na kutaja amount ya furniture pekee tena kwa ku-guess bila kutaja digits flani moja kwa moja ni swala la ku-note kupitia mahojiano yale.
  Ila walau kawa na courage ya kujitokeza mbele na kufanya igizo lile mbele ya watanzania, hii inadhihirisha mwanadada huyu ana fit vema kwenye hii shuhuli yake ya uigizaji.
  All in all, ukitazama kwa makini utagundua Wema anajaribu ku-potray kuwa yeye ni msanii mwenye level flani ya juu ya maisha binafsi kwa nia ya kupata mikataba ya kazi zake za sanaa(na deal zingine kama ni kweli huzifanya) ya level flani ya juu kulingana na maisha yake yanavyoonekana kama alivyoji-tune.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Hizi habari ndio zinakufaa wewe unafanana nazo!
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Ndio maana uko hapa Habari nyepesi kama hizi angalau unaweza kuchangia, kwenye Aviation Industry kaa chonjo utaumbuka kama ulivyoumbuka leo.
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  hata wewe msomaji an mchangiaji zinakufaa sana...
   
 8. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Ni kweli ile nyumba si ya Wema inasemekana kuwa inamilikiwa na familia ya Ngoma.
   
 9. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  Haya we tetu macho na masikio.Mbona sijaelewa nitaendelea kusoma nielewe
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 160
  Mie aliyenichosha ni Mama Mzazi wa Wema kuibuka katika kipindi kile.
  Wala simlaumu Wema kabisa.
   
 11. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Secretary anayeusubiri ufalme wa Wema...
  Akija hapa atakuja na vioja badala ya hoja
   
 12. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  du kweli uongo audumu,si aje aombe mansion yangu aseme yake nitabana siri
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Hata kama huelewi kwa kusoma basi picha utaona tu, ukweli una tabia moja kuu, nayo ukweli ubakia milele.
   
 14. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,601
  Likes Received: 18,618
  Trophy Points: 280
  Ukiona wale wanawake wanatoboa matundu kibao masikioni na kuyashehezeza kwa ma gold na mikufu kibao na mapete kibao!. Ujue kisaikolojia huyu ni masikini wa roho na ananyanyasika na umasikini wake ili kijithaminisha mbele ya jamii, ndio anavaa hayo magold ili kujionyesha thats how one is worth!.

  Niliangalia ile program, ni kweli kumiliki nyumba na vitu vizuri ni jambo jema, ila wote wenye jicho la pychoanalysis waligudua she is wounded psychological hivyo anafanya show off ili kujifariji!.

  Sanaa ya uigizaji bongo tunaijua, top super star alikuwa Kanumba!, anachofanya dada yetu ni kuutangazia umma kuwa the topstar mwenye mafanikio makubwa zaidi kuliko wote ni yeye and she is worth 500 milions overnight!.

  Kwa vile aliwahi kutukanwa kuwa hana kwake kila siku ni kuhamia kwa hivyo vijivulana vyake anavyovibadilisha kama nguo!, sasa ametulia ana kwake na kwa kule kwa mama yake amenunua new bedroom furniture na kitanda kimpya ambapo kesho mama yake atakionyesha na kueleza ndicho alichokuwa analalia tangu akiwa mdogo!.

  Mimi binafsi japo sio mpenzi wa bongo movies, namkubali hiyu binti she used to be genuine, humble and down to earth kabla masifa hayampasua sasa she is overdoing things!.

  Anahitaji msaada wa ushauri wa kisaikolojia!.
   
 15. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Ni Upepo tu...Utapita....
   
 16. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Kwa habari nyepesi nyepesi zilizonifikia sasa hivi huyu Dada yetu mwingine anayejulikana kwa jina la WOLPER naye amenyang'anywa gari na Kibosile wake!! Pasco uko sahihi hawa mabinti wanahitaji wataalam wa saikolojia kuziweka akili zao sawasawa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,277
  Likes Received: 470
  Trophy Points: 180
  kazi kweli kweli,tatizo dadazetu wa bongo wanataka walead maisha wanayoishi waigizaji wa nje.mara shoping dubai,mara holiday ushelisheli.cheki sasa wanavyo umbuka.
   
 18. mischa

  mischa JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 374
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  makuuu haya:thinking:
   
 19. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Jamani,cjui ni uzee ndo unanisumbua au vp,cjaelewa kinachozungumziwa hapa,kwan ile nyumba ambayo ilianzishiwa thread humu tukatangaziwa kuwa ni ya huyo wema kumbe co yake au?
   
 20. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  [h=1]WOLPER ANYANG'ANYWA GARI[/h]

  [​IMG]Mwigizaji ‘five star' kutoka tasnia ya filamu Bongo, Jacqueline Wolper Masawe, amenyang'anywa ‘mkoko' (gari) wa kifahari aliokuwa akitanua nao katika mitaa ya mbalimbali ya jiji la Bongo.
  Habari zenye ukweli 100% ambazo Teentz.com imezinyaka zinasomeka kuwa Wolper anayejulikana kama Amber Rose wa Bongo amenyang'anywa mkoko huo aina ya BMW X6 wenye thamani ya ‘ngawira' za kibongo ML 170, sambamba na kupigwa ‘stop' kukaribiana na mshefa aliyekuwa amemnunulia ndinga hiyo.
  Kwa mujibu wa chanzo, hatua ya mshefa huyo kuamua kuchukua ndinga yake ni baada ya kugundua kuwa Wolper anatoka kimapenzi na ‘sharobaro' mmoja anayemiliki duka maarufu la viwalo pande za Kinondoni.
  Aidha chanzo hicho, kimeieleza Teentz.com kuwa hivi sasa mwanadada huyo ameamua kutembelea ndinga aina ya Noah aliyokuwa anaitumia hapo awali sambamba na kutoka kwa kuvizia kukwepa watu wake wa karibu washitukie mchongo.
  Katika kuhakikisha kuwa ukweli unajulikana Teentz.com iliamua kumsaka na baada ya kupatikana Wolper aligeuka mbongo na kudai kuwa hakuna jambo kama hilo isipokuwa kilichotokea ni kuwa gari limepata matatizo na ameamua kulipeleka ‘garage'.
  Alipotakiwa kueleza kuwa imekuwaje gari mpya kama ile aipeleke garage tene kwa siku tatu Wolper alisme hivi: "Bwana eeh wee jua liko ‘garage' hayo maswali mengine mimi sitaki kuayasikia na kama una taka ugomvi endelea kuniuliza" alisema na
   
Loading...