This image tells a touching "full circle" story of adoption and caregiving.Wazungu sio wa kuwaamini 😹
Wabongo kwa kujiongeza 🙌Wazungu sio wa kuwaamini 😹
Bora huko wana baki mababu huku kwetu mabibi ndio wanao baki🥺🤔🙇🏿♂ The world of impermane😭
View attachment 3548216
Huo ni wema. Lakini ni ule wema 'kumanyoko'... Au ni wema unaotengeneza akiba itakayooza. Huruma sio malezi. Mkistaafu hakuna atayekuhurumia.mimi nafanya ofisi flan ya serikali ni mkaki wa baadhi ya mambo, hivyo wafanyakazi wenzangu wakiwa na shida eneo la hicho kipengele huniomba mimi bila malipo na natumia muda wangu ...je na huu ni wema au ujinga? Mshana Jr
Kama unatumia muda wako wewe ni fala...mimi nafanya ofisi flan ya serikali ni mkaki wa baadhi ya mambo, hivyo wafanyakazi wenzangu wakiwa na shida eneo la hicho kipengele huniomba mimi bila malipo na natumia muda wangu ...je na huu ni wema au ujinga? Mshana Jr
Wema ni hakiba! Unajua ni kwa kutoa ndio tunapokea.. Daima usiache kutenda wema wala kusaidia unapoweza.. Wema ni ibada na kusaidia ni wito na kipawa! Usiache kusaidia lakini kwa usahihi na panapostahilimimi nafanya ofisi flan ya serikali ni mkaki wa baadhi ya mambo, hivyo wafanyakazi wenzangu wakiwa na shida eneo la hicho kipengele huniomba mimi bila malipo na natumia muda wangu ...je na huu ni wema au ujinga? Mshana Jr
Kuna watu ni wema na walijali kila mtu walipokuwa na kitu. Ila waliposhuka, walitelekezwa na familia pamoja na ukoo mzimaKatika haya maisha usiwe na kiburi wala maringo,ishi na watu vizuri maana huwezi jua atakaye kufaa kesho.No man is an island no man stands alone.
LamomyWazungu sio wa kuwaamini 😹
Ulimwengu wa roho una macho na unaona.. Kamwe hutapungumiwa ukitenda kwa usahihi, kwa moyo mnyoofu na bila hila wala kujikwezaHuo ni wema. Lakini ni ule wema 'kumanyoko'... Au ni wema unaotengeneza akiba itakayooza. Huruma sio malezi. Mkistaafu hakuna atayekuhurumia.