Wema: Napenda mwanaume anayepiga

MREMBO wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ametoa kali ya aina yake kuwa, katika maisha ya uhusiano, anafurahia kuwa na mwanaume ambaye atampa kipigo kidogo pale anapokosea. Mwanadada huyo aliyasema hayo hivi karibuni kwenye sherehe ya kuzaliwa ya meneja wake, Neema Ndepanya iliyofanyika nyumbani kwa Wema, Salasala jijini Dar ambapo aliulizwa na Ijumaa Wikienda kuhusu aina ya mwanaume anayependa kuwa naye

ndipo alipotoa ya moyoni.“Napenda mwanaume anipe kipigo kidogo siyo mwanaume mnaishi miaka yote, halafu hata kukupiga kofi kidogo hakupigi,” alisema Wema huku akiangua kicheko cha kiaina.
Inawezekana hajaeleweka pengine alimaanisha zile slap za makalioni wakati wa tendo pendwa!
 
Hahahaa.. hyo Dada kuna siku atasema anamtaka mkurwia Wa tarime bila kuitaji chochote kutoka kwake!

Haya maisha yanakwenda kasi zaidi ya supersonic!
 
Hoja yake ina mashiko. Nimekaa na mwanamke miaka minne sasa kwenye ndoa. Huwa namshushia kichapo kidogo kidogo cha kumuweka sawa lakini hajawahi nishitaki popote. Zaidi tu nikipata dharura nikatoka hata week moja tu. Ananimiss saaaana mmewe.
 
Hii ni kweli mwanamke wako akikosea ukamtandika makofi upendo unaongezeka na adabu kwa sana. Ukijidai mtu wa dini/maneno kupitiliza utakuwa unaumia kila kukicha.

Alichokisema ni kweli nimekiona mwenyewe.
 
Yaani mtu anapenda kupigwa Labda Kama hapigwi kweli mwanaume anamchezea.
Lakini Kama nikupigwa kweli Kwa wanawake tunaowaona hospital wamepigwa na wanaume ni balaa.
Hao wanaume wanaopiga halafu mtu anafurahia kipigo Labda ni wanaume mashoga wenye mikono ya lotion huko Dar.
Mimi siwezi kumpiga mwanamke maana huu mkono nitaambulia Kesi Aiseee
Hapa ndo napata picha Kwanini wanawake wamekua hivyo walivyo inawezekana Kuna wanaume wanatuaibisha kwamba mpaka mwanamke Anapigwa halafu Anaenda kucheka hii ni kiboko.
Pigeni na mikono yenu hiyo yenye sponchi sie wengine tutaua bure tumeamua kutotumia nguvu Kwa watu wazima wenzetu wenye akili Timamu.
Labda Kama umeoa taahira asieelewa akimbiwa sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom