Wema: Napenda mwanaume anayepiga

Kwa umri wake hatakiwi kuongea hayo maneno, wenzie wapo wanalea familia ndani na waume zao. Habari za anapenda mwanaume wa........., zilipitwa na wakati. Umri unamtupa huyu bibi, atafute pa kujisitiri sasa...tumechoka na mambo yake:rolleyes:
 
Alivyosema mwanaume anayepiga alikuwa na maana tofauti, sema mleta mada hakumuelewa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom