rodgersdenis
New Member
- Jul 29, 2015
- 1
- 0
Duuuuh
Mada nzuri.. wachangiaji wengine wanavuka mstari wa uhuru wa kujieleza na kuifanya hoja iwe so personalized.. hapa tunajadili mambo muhimu na sio kuingia kwa matusi na kumdadavua huyo dada kwa mambo yake binafsi.. huu si ustaarabu wala uungwana wala maana ya uhuru.. Tukumbuke.. "uhuru wako unaishia pale uhuru wa mwezako unapoanzia".. Be fair.. if you dont like... dont hurt someone! Just saying!!
Baada ya Wema kuukosa Ubunge, sasa amerudi rasmi Singida kumng'a Tundu Lissu. namaanisha anagombea ubunge wa kuchaguliwa na wananchi.
Tumuombee katika safari yake hii ya siasa.
Kila la kheri Sepetu.
==========================
[video]https://www.youtube.com/watch?v=BL6CWF_NrZI[/video]
MSANII maarufu wa filamu nchini,Wema Sepetu, amemtangazia kiama mbunge wa jimbo la Singida mashariki Tundu Lissu wa CHADEMA, kwamba siku zake za ubunge zinahesabika.
Wema miss Tanzania 2006, aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya safari yake ya kisiasa ambayo ameianzisha baada ya kushindwa kwenye uchaguzi ubunge viti maalum (CCM) mkoa wa Singida uliofanyika hivi karibuni.
Alisema matunda ya safari yake ya kisiasa yataanza kuonekana kuanzia oktoba mwaka huu baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu, kwani jimbo la Singida mashariki,litakuwa mikononi mwa CCM chama tawala.
Mimi nimerudi Singida kwa kazi maalum, nimekuja kushiriki upigaji kura za maoni CCM.Tumemchagua mgombea wetu Jonathan Njau ..tutahakikisha Njau anamgaragara Tundu Lissu,alisema Wema kwa kujiamini.
Akifafanua,alisema hivi sasa maandalizi ya kuingoa CHADEMA jimbo la Singida mashariki,yameanza na yanaendelea vizuri.
Wema alisema kazi ya kuingoa CHADEMA mwaka huu, itafanywa kwa ushirikiano wa karibu na wana CCM wote na kuungwa mkono na kundi la wasanii maarufu kutoka jijini Dar-es-salaam.
Kwa upande wake katibu wa CCM wilaya ya Ikungi, Aluu Segamba,amesema Wema ameonyesha amekomaa kisiasa kwa kitendo chake cha kurudi Singida mapema,licha ya kuangushwa kwenye uchaguzi wa ubunge viti maalum CCM hivi karibuni.
Tunaendeleaa kushuhudia wana CCM wengi wanaoangushwa kwenye chaguzi mbalimbali,huwa na chuki na chama na wangine wamefikia uamuzi wa kukihama chama. Lakini Wema ndio kwanza mapenzi yake kwa chama yameimarika na sasa anaelekeza nguvu zake kulikomboa jimbo la Singida mashariki kutoka CHADEMA na kulirudisha CCM, alisema Segamba.
Chanzo:dewjiblog.com

Msanii wa bongo movie
hivi wewe wema naye ni mtu wa kuanza kujadili hoja zake?
kuna watu ilitakiwa hata wasifikirie hata kusimama mbele ya jamii eti anaomba kuwa kiongazi wao!!

ni mal....... flani anaji....za instagram.