Wema arudi Singida kushindana na Tundu Lissu

Kama CCM inamuweka Wema kuwa mwakilishi wao wa ubunge basi inadhihirisha jinsi gani chama cha mapindizu(CCM) kilivyopoteza Dira. Sasa ni bora liende tuu. Hivi Wema ataongea nini bungeni..? Atatetea vipi wananchi..? Sitashangaa akianzisha kesi za Diamond au Kajala ndani ya Bunge. Kwa kweli hivi CCM haina system ya kuandaa vijana kwa ajili ya kuongoza nchi. Nina maana ya kuchukua wasomi ambao wamefuzu na kuelimika ki utawala. Wadau au mnasemaje..?
Ila sihangai wema kuanza kumtupia maneno Tundu Lissu. Lowassa alisema kuna watu wanatumwa kumtukana na baada kupewa madaraka makubwa ndani ya CCM. Sitashangaa wema kuja kuwa mkuu wa Wilaya au Mkoa akikosa ubunge.
 
Baada ya Wema kuukosa Ubunge, sasa amerudi rasmi Singida kumng'a Tundu Lissu. namaanisha anagombea ubunge wa kuchaguliwa na wananchi.

Tumuombee katika safari yake hii ya siasa.

Kila la kheri Sepetu.

==========================
[video]https://www.youtube.com/watch?v=BL6CWF_NrZI[/video]
MSANII maarufu wa filamu nchini,Wema Sepetu, amemtangazia kiama mbunge wa jimbo la Singida mashariki Tundu Lissu wa CHADEMA, kwamba siku zake za ubunge zinahesabika.

Wema miss Tanzania 2006, aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya safari yake ya kisiasa ambayo ameianzisha baada ya kushindwa kwenye uchaguzi ubunge viti maalum (CCM) mkoa wa Singida uliofanyika hivi karibuni.

Alisema matunda ya safari yake ya kisiasa yataanza kuonekana kuanzia oktoba mwaka huu baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu, kwani jimbo la Singida mashariki,litakuwa mikononi mwa CCM chama tawala.

“Mimi nimerudi Singida kwa kazi maalum, nimekuja kushiriki upigaji kura za maoni CCM.Tumemchagua mgombea wetu Jonathan Njau…..tutahakikisha Njau anamgaragara Tundu Lissu”,alisema Wema kwa kujiamini.

Akifafanua,alisema hivi sasa maandalizi ya kuing’oa CHADEMA jimbo la Singida mashariki,yameanza na yanaendelea vizuri.

Wema alisema kazi ya kuing’oa CHADEMA mwaka huu, itafanywa kwa ushirikiano wa karibu na wana CCM wote na kuungwa mkono na kundi la wasanii maarufu kutoka jijini Dar-es-salaam.

Kwa upande wake katibu wa CCM wilaya ya Ikungi, Aluu Segamba,amesema Wema ameonyesha amekomaa kisiasa kwa kitendo chake cha kurudi Singida mapema,licha ya kuangushwa kwenye uchaguzi wa ubunge viti maalum CCM hivi karibuni.

“Tunaendeleaa kushuhudia wana CCM wengi wanaoangushwa kwenye chaguzi mbalimbali,huwa na chuki na chama na wangine wamefikia uamuzi wa kukihama chama. Lakini Wema ndio kwanza mapenzi yake kwa chama yameimarika na sasa anaelekeza nguvu zake kulikomboa jimbo la Singida mashariki kutoka CHADEMA na kulirudisha CCM”, alisema Segamba.

Chanzo:
dewjiblog.com

1st April, fools day!
 
wema mjanja jamani duuuuuh......anapiga debe ila asisahaulike kwenye ufalme wa ccm baadae ,for the first tym she is in the wrong truck asee duh,kachemshaaaaaaa co kwa jembe tundu lisu,she is messed up
 
Asifikiri Siasa ni sawa na kupamba magazeti ya udaku, Mr. Clean mwenyewe alikimbia Arumeru sembuse huyu Ndorrrrrooobo!
 
Baada ya Wema kuukosa Ubunge, sasa amerudi rasmi Singida kumng'a Tundu Lissu. namaanisha anagombea ubunge wa kuchaguliwa na wananchi.

Tumuombee katika safari yake hii ya siasa.

Kila la kheri Sepetu.

==========================
[video]https://www.youtube.com/watch?v=BL6CWF_NrZI[/video]
MSANII maarufu wa filamu nchini,Wema Sepetu, amemtangazia kiama mbunge wa jimbo la Singida mashariki Tundu Lissu wa CHADEMA, kwamba siku zake za ubunge zinahesabika.

Wema miss Tanzania 2006, aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya safari yake ya kisiasa ambayo ameianzisha baada ya kushindwa kwenye uchaguzi ubunge viti maalum (CCM) mkoa wa Singida uliofanyika hivi karibuni.

Alisema matunda ya safari yake ya kisiasa yataanza kuonekana kuanzia oktoba mwaka huu baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu, kwani jimbo la Singida mashariki,litakuwa mikononi mwa CCM chama tawala.

“Mimi nimerudi Singida kwa kazi maalum, nimekuja kushiriki upigaji kura za maoni CCM.Tumemchagua mgombea wetu Jonathan Njau…..tutahakikisha Njau anamgaragara Tundu Lissu”,alisema Wema kwa kujiamini.

Akifafanua,alisema hivi sasa maandalizi ya kuing’oa CHADEMA jimbo la Singida mashariki,yameanza na yanaendelea vizuri.

Wema alisema kazi ya kuing’oa CHADEMA mwaka huu, itafanywa kwa ushirikiano wa karibu na wana CCM wote na kuungwa mkono na kundi la wasanii maarufu kutoka jijini Dar-es-salaam.

Kwa upande wake katibu wa CCM wilaya ya Ikungi, Aluu Segamba,amesema Wema ameonyesha amekomaa kisiasa kwa kitendo chake cha kurudi Singida mapema,licha ya kuangushwa kwenye uchaguzi wa ubunge viti maalum CCM hivi karibuni.

“Tunaendeleaa kushuhudia wana CCM wengi wanaoangushwa kwenye chaguzi mbalimbali,huwa na chuki na chama na wangine wamefikia uamuzi wa kukihama chama. Lakini Wema ndio kwanza mapenzi yake kwa chama yameimarika na sasa anaelekeza nguvu zake kulikomboa jimbo la Singida mashariki kutoka CHADEMA na kulirudisha CCM”, alisema Segamba.

Chanzo:
dewjiblog.com

anadhania siasa ni kuweka mapaja nje na kuchaguliwa!!! enzi ya mapaja na UDC imeisha!! arudi akacheze sinema atustareheshe mawazo yetu ndo kipaji hake huyo!!
 
Nimepata jibu, ndiyo maana nilimuona wema sepetu sehemu na Ridhiwani kumbe ndiyo deal mlikuwa mnaongea!
 
Amemshindwa Zari,... Scene zingine hazikufai.
 
wema yule anacheza picha chafu ama mwingine?
 
Tundu Lissu is a political monster...Wema and whoever she's rooting for are like political puppies.
 
Haendi kumnadi mgombea wa ccm,ana kazi ya kwenda kuyanadi masaburi yake.
 
Back
Top Bottom