babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,176
mleta uzi hakueleza vizuri. wema anakwenda kumsaidia mgombea ubunge kwa tiketi ya ccm jonathani njau ili amuangushe tundu lisu. ndivyo ilivyoandikwa kwenye baadhi ya mitamndao.
Hii ni kichekesho, Wema kashindwa kuwashawishi wana Singida wamchague yeye mwenyewe halafu anajiamini anaweza kuwashawishi wamchague Njau!!