Welcome to MSALANI

Welcome to MSALANI

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,312
msalani kwangu ndio hapo
 
Attachments

  • 1430284773016.jpg
    1430284773016.jpg
    35.6 KB · Views: 976
Last edited by a moderator:
kweli mnatupenda sisiem!! tupo mioyoni mwenu.... hamchoki kututaja, na kura mtatupa tu hiyo october
 
charty rafiki let's have a change of scene...! Tuipumzishe ccm kidogo kwa manufaa yetu sote
 
Last edited by a moderator:
charty rafiki let's have a change of scene...! Tuipumzishe ccm kidogo kwa manufaa yetu sote

Hahaa hapa mie na wewe ndo tunapotofautiana rafk angu..do u think..chama ndo kina tatizo au watu walioko kwenye chama ndo wanaleta maruweruwe??
 
Last edited by a moderator:
Chama kinaundwa na watu kumbuka

Ni watu ndio wanaounda chama ila unadhani watoto wa kwenye familia moja wanakuaga sawa kitabia??hao wenye tabia chafu ndo wanaoharibu familia..ni kama sisiem kuna wasafi na wachafu let's do right tuongozwe na akili na siyo hisia!!am sure hata huko chadomo kuna makanjanja tu kama sisiem haina haja ya kuruka ruka let's stick in one place bana!!
 
Ni kweli wasafi na wachafu wapo kila mahali lakini hebu tuangalie ile DARING POWER ya kuwajibishana CHADEMA kuna mwelekeo japo umidiss kwa kuiita chadomo serikali imerekebisha kwa sababu ya kelele na harakati za CHADEMA ni ngumu kukubali huu ukweli lakini charty kila aliyeko ccm kwasasa yupo kwa manufaa binafsi
 
Ni kweli mnawawajibisha viongoz wanaokosea huko CHADEMA..ila hata sisi kina viongozi wanaowajibishwa pia je hukuona wale mawazir waliowajibishwa last time..na hivi majuzi hukuona mama TIba akiwajibishwa??mapungufu yapo lakin hayo si ndo yakuyachukulia ka fimbo ya kuipia ccm!!kubal kataa sisiem imekufanyia mambo mengi mfano mzur huko unapokaa unaona..hayo mengine ni madhaifu ambayo hata nyie mnayo!!
 
charty ngoja tu tukubaliane kutokubaliana lakini kwa roho safi kabisa litakuwa jambo bora kama tutabadili uongozi wa kisiasa ili kila mmoja ajitathmini nje ya madaraka na ndani ya madaraka
 
Last edited by a moderator:
charty rafiki let's have a change of scene...! Tuipumzishe ccm kidogo kwa manufaa yetu sote

Tumpe nchi padre slaa waziri mkuu dj mbowe sugu na akina lema wawe mawaziri pamoja na Tundu Lisu ivi ndugu unafikiria nini labda.
 
Last edited by a moderator:
charty ngoja tu tukubaliane kutokubaliana lakini kwa roho safi kabisa litakuwa jambo bora kama tutabadili uongozi wa kisiasa ili kila mmoja ajitathmini nje ya madaraka na ndani ya madaraka

Hahahahaaah nishakuelewa rafiki angu wewe desire yako tu tubadil chama ili tuone system itakavyokuwa!!hahaa I know change ni wewe lakini je wengine wako tayar kubadil system?hamuoni tu hizi kelele no za mjini tu!! Huko kijijin walaaa wanajua chama no sisiem only!! Haya basi jaribuni kwanza October tuone..ila nachokupendea unampenda EL😀
 
Huyu ndio walewale wa uchagani shida yao ni kushika dola tu iwe kwa chadema kupitia slaa au ccm kupitia lowasa ni unafiq tu umewajaa na kujifanya wsnaupendo kwa tz angalua makabila yao yanavyotunyanyasa sisi wengine vipi wakipewa nchi hawa? Wanamshabikia lowasa alafu wanatuambia act ni ya lowasa na wanamchukia zzk ili ni janga.
 
Hahaa siyo act tu!!hata ccj walisema ya lowasa...mie bora nibaki na sisiem yangu kuhama hama chama stakiii
 
Back
Top Bottom