Sales man
JF-Expert Member
- Aug 27, 2025
- 571
- 843
Pole Sana Kwa unayopitia na uliyopitia.
Najua utakuwa umepata mshangao mtu mwenye akili za juu Kama wewe kutumika kumshambulia the wrong enemy.
Hii ndo Ccm inaweza kumtumia yeyote yule kwa interest zake.
Kitu ambacho nakupa Kama ushauri wewe na wasaidizi wako make sure Una follow ur instinct usitumie tu akili ya kawaida tumia 6th sense .
Kama ambavyo ulipewa taarifa kuwa usiende Dodoma ukaenda n.k waliokupa huo ushauri walikuwa wanakupenda.
The art of war we love you TAL ukiamua kushambulia safari hii jitahidi ujue who is ur really enemy.