Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
haupati kitu. Si ulimpa mwenyewe
Hivi nyie mmetoana wapi na Nicas Mtei?
Kwanza nishaitupa zamani sana......toka kipindi kile ulivoninunulia ingine...... Aende njiro dampo akaitafute huko
Hivi nyie mmetoana wapi na Nicas Mtei?
Kwa taarifa yenu haachwi mtu hapa Mamndenyi yupo na tunakula bata tuu hapa Nicas Mtei lelea mwana bana na ujifunze kubadilisha na pampers sio ujue kubeba tuu sweetlady lea mwana bana sisi wacha tule raha hapa
Anatangatanga sana

kwa nini anatangatanga?
Nicas Mtei natangatanga wapi aise wakati unaniona niko na Mamndenyi hapa peke yakekwa nini anatangatanga?
Nicas Mtei natangatanga wapi aise wakati unaniona niko na Mamndenyi hapa peke yake