Kazi sio kuzaa...
Kazi kulea...
Sio kulea mke...
Ni kuanzia mimba mpaka mtoto...
Weeeeee.........naona unachafua cv kwa nguvu zako zote..............utakuwa bado unanipenda wewe!........ Afu kwa taarifa yako nna damu ya yesu so nenda popote wala hunitishi
Asikutishe na uchawi wake. Yesu yupo nasi
Amen swthrt........ Love you!
Cv ishachafuliwa sweetlady maana Samsung yangu nilinunua kwa hela ya kukopa nadaiwa hapa na wewe unanipa story za kwa mganga sikubaliano na hilo Nicas Mtei sawa hakuna linaloshindikana hata huko kwa huyo Bwana wa Majeshi nitaenda tuu mpaka nipate haki yangu