asante nimekwisha poa leo kaja home ndo anaingia sasa hivi 06:20 usiku huu ananuka pombe si mchezo hzi ndoa sijui kwanini Mungu aliziweka kwani balaa tupu acha nivumilie kwani moyo ushazama bidada kwake huyu ananifanya roho iruke kama ndege ya FASTJET jamani mwee!
Nicas Mtei namuulizia anirudishie Samsung Galaxy yangu bana mi wala sina mpango nae aiseWeeee. Usianze kujipendekeza kwa mama wa mtoto wangu.
Nimpeleke Mabwepande?
sweetlady nakutafuta ujue na uliondoka na Samsung galaxy yangu naitafuta sana ujue
Hebu kuja pembeni kule uniambie uko wapi kwa sasa
Hehehehehe Mungi mwenyewe ananimendea iweje tena anipeleke kwa Nicas Mtei?........ Nimekuja mwenyewe kwa mapenzi yanguNicas Mtei namuulizia anirudishie Samsung Galaxy yangu bana mi wala sina mpango nae aise
Mbona wivu hivi nikikuambia alikuwa na mimi kabla Mungi hajamtorosha kumleta kwako utasemaje
Nicas Mtei namuulizia anirudishie Samsung Galaxy yangu bana mi wala sina mpango nae aise
Mbona wivu hivi nikikuambia alikuwa na mimi kabla Mungi hajamtorosha kumleta kwako utasemaje
Mpeleke honey........amezidi kunisumbua
Nimepamiss homevlol
Hehehehehe Mungi mwenyewe ananimendea iweje tena anipeleke kwa Nicas Mtei?........ Nimekuja mwenyewe kwa mapenzi yangu
usijali d........nawajua sana wala hawanipi tabu
usijali d........nawajua sana wala hawanipi tabu
Sawa mpenzi. Na hatarudi
Hehehehehe Mungi mwenyewe ananimendea iweje tena anipeleke kwa Nicas Mtei?........ Nimekuja mwenyewe kwa mapenzi yangu