Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Kumekucha!!!!!😱😱😱😱
Namakucha yake bibie....
Kumekucha!!!!!😱😱😱😱
besti mitego kipimo cha imani. ngoja ntoke nisiharibu swaumu mie.
Hana simu??
Mmh si bora sasa hata uchepuke shoga, ukiachwa itakuwa haki yako. Yani tunatafutiwaga tu visababu vidogo ushatemwa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hahahah.....sijui kwa nini sikuwaga mzuri kama charty...ningekuwa napeta tu
heheh!!! nikumwagie ww misifa soko lako la matongozo liongezeke??!! haiwezekani. hapo najifagi mtoto hips hips t.ako t-ako hata kama The Boss hajawahi kunipm lazma aingie line.
Nakwambia my wi yani wabaya tuna shida?Ila uzuri wa mtu upo machoni so na sie tutapata wakutupenda na ubaya wetu
Hahaaa umenichekesha kweli...sie akina asha boko ukichepuka tu umekatwa..
Mwe!!!
Hebu zihurumie mbavu zangu best!!
Hahaaa best usicheke nna machungu ujue...
Unakumbuka eeh? Na mimi nliwaona wanapigana mabusu ya wiziwizi teh
Best nakumbuka sana
Sasa hat sielewi cos mzee kibo 10 kaanzisha nae Uzi kule cc