Welcome back my lovely wife Charty

Welcome back my lovely wife Charty

halafu ndo nani mi sijawahi kuona hata comment yake moja! nna mpango wa kujifungulia ID ya kiume nijitongoze weee, nijimwagie na misifa mwenyewe.
cc Kongosho, King'asti.

Hahaa.... Si mzima weye....fungua unimwagie mimi hiyo misifa lol
 
Last edited by a moderator:
Hahaa.... Si mzima weye....fungua unimwagie mimi hiyo misifa lol

heheh!!! nikumwagie ww misifa soko lako la matongozo liongezeke??!! haiwezekani. hapo najifagi mtoto hips hips t.ako t-ako hata kama The Boss hajawahi kunipm lazma aingie line.
 
Last edited by a moderator:
halafu ndo nani mi sijawahi kuona hata comment yake moja! nna mpango wa kujifungulia ID ya kiume nijitongoze weee, nijimwagie na misifa mwenyewe.
cc Kongosho, King'asti.

hahaha una comment na kujijibu mwenyewe achilia. mbali kujipa likes.
ni member huku ndani charity
 
Last edited by a moderator:
Unajuwa nijuwavyo mimi mapenzi ni afya na huongeza siku za kuishi duniani
Sasa naona anapoelekea mdogo wangu Rich Pol ni pabaya sana ni kama amechoka kuishi kwenye dunia hii iliyo na kila aina ya raha
Swala langu mimi na charty sio la kificho ulimwengu mzima unajuwa ni mke wangu kipenzi na siku tulipofunga cheni za milele wapo mashuuda walioshuudia wakiwepo ICHANA Heaven on Earth Khantwe kabanga miss neddy na wengine wengi niliowataja hapo ni wale walioshiriki toka tendo la mahari.
Ghafla leo anaibuka mtu na kusema "eti"charty ni mke wake?
Tena analia kama mtoto na machozi anatoa kulilia penzi la mke wangu mimi sina mengi ya kusema maana jamaa kashaaribu siku yangu.
Ningependa tu nimpe angalizo Rich Pol mbele yenu atemane na mke wangu bila hivyo yatakayomkuta tusije kulaumiana hata kidogo
Ulimboka alipotea akaonekana sasa wewe rich ukiyeyuka unayeyuka mazima naomba jiongeze na tuheshimiane kaa mbali na mke wangu
Tena ole wako nikukute tena huku mtaani unajipa promo nakuambia utapotea charty mke wangu njoo ueleze huu umma mapenzi yetu yalikoanzia kabla ya kufunga pingu huyu dogo aumbuke!
 
Last edited by a moderator:
Mbona hujasema huo utelezi wa mrembo wako ulikuwa wa nini,aina gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom