Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,347
- 8,254
Hatari sana hiiK
Kwanini lakinii?
Hatari sana hiiK
Kwanini lakinii?
Wachaa wee, 😂😂😂😂Hatari sana hii
Wacha tusubiri maembe yaangukeWachaa wee, 😂😂😂😂
Kwa kweli.Wacha tusubiri maembe yaanguke
Don’t count yourself out before the game starts.Habari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Huna haja ya kuweka miaka au jinsiaProfession: Computer Scientist & IT Specialist
Age: 28
Education Level: Bachelor of Science in Computer Science (BSc. Computer Science)
Experience: 5 Years in the ICT Field
Skills:
Currently Seeking: Job
- Computer Programming
- IT Support
- System Administrator
Profession: PARTS SALESHabari zenu jobless kwa graduates, waajiri kwa wakurugenzi n.k . Niende direct kwenye mada
Kutokana na watu wengi kuhangaika kutafuta ajira na wengine kutafuta waajiriwa humu nimeamua kuja na huu uzi. Watafuta kazi wote watatuma profile zao in summary then interested part wataendelea na mazungumzo PM.
Mwajiriwa Profile yako iwe hivi, Mwajiri pia andika shortly hivo hivo
Mfano
Profession: SALES
Experience : 2 years
Education level: Bachelor degree
Location: Kinondoni, Dar.
Just that short interested parts mtamalizana PM hapa ni short profile/ summary.
Pia Kama umeona opportunity somewhere lakini ni nje ya professional yako usiache pia kum-refer mtu mwingine mwenye profile inayo match humu. Tubebane
twende kazi.
NB: Tafadhali usiweke namba ya simu wala email hapa.
Ni muhimu vikiwepoHuna haja ya kuweka miaka au jinsia
Havisaidii chochote zaidi ya kuongeza discrimination, umri na jinsia ni issue kwa waajiri wengi, above 50 na 30, wa 50 hata interview hutaitwaNi muhimu vikiwepo
Sasa mi nataka kumuajiri kijana wa kiume umri 20s, afu ije cv ya mumama wa 40 si usumbufu tuHavisaidii chochote zaidi ya kuongeza discrimination, umri na jinsia ni issue kwa waajiri wengi, above 50 na 30, wa 50 hata interview hutaitwa
Umri sio kipimo cha uchapa kazi, mama wa 40 anaweza akawa better than 20 years old young man, lakini bias ya binadamu itaenda na 20, age discrimination ni tatizo kubwa sana, nchi zilizoendelea wanajua hilo, mfano nchi kama US hakuna mtu atakuuliza umri wako , ni illegal kufanya hivyo kwenye job applicationSasa mi nataka kumuajiri kijana wa kiume umri 20s, afu ije cv ya mumama wa 40 si usumbufu tu
Mkuu acha ubishi, yani kazi ya kukimbia kimbia huku na kule pelekea wateja huduma nimuweke mumama wa 40s???? Serious???Umri sio kipimo cha uchapa kazi, mama wa 40 anaweza akawa better than 20 years old young man, lakini bias ya binadamu itaenda na 20, age discrimination ni tatizo kubwa sana, nchi zilizoendelea wanajua hilo, mfano nchi kama US hakuna mtu atakuuliza umri wako , ni illegal kufanya hivyo kwenye job application