kuna watu wanakuja humu kuvuluga utaratibu, yupo mwingine nae kamuiga @figganiga kuandika mwisho - mia, hii ndio mijitu inayoboa
Unaweza ukanionyesha zinakouzwa zile bastola za kichaga..??? Maana hapa nna gobole na kimakondewe naomba umuwache baby wangu mzee wa mia......
Kwani ye akiandika mia kule mwishoni we wapungukiwa nini
imenibidi nichague hichokichwa cha habari maana kila post unayosoma hata kama nyingine haina mahusihano na picha lkn mtu anakwsmbia weka picha, picha tafadhali, mara picha jamani,.. kiukweli wakati mwingine achekesha na wakati mwingine inaboa.. na chaajabu kunawengine watatupia kwenye posti hii" WEKA PICHA". haha
we naomba umuwache baby wangu mzee wa mia......
Kwani ye akiandika mia kule mwishoni we wapungukiwa nini
wew mwanamke huyo ndio mmiliki halali wa hiyo mia wengine ndio magumishi au hujanielewa maana yng
Msimu wenu huu dadadek! lazima muombe poo!