KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,716
- 12,074
1 enthusiasticKama ilivyo ada basi uzi huu ni maalum wa kuelekezana kutamka maneno ya kiingereza ambayo yanakuchanganya kutamka, weka utasaidiwa humu.
2 edherence
1 enthusiasticKama ilivyo ada basi uzi huu ni maalum wa kuelekezana kutamka maneno ya kiingereza ambayo yanakuchanganya kutamka, weka utasaidiwa humu.
Got = Got => phonetic alphabet [ɡɒt]
Goat = Gout => phonetic alphabet [ɡəʊt]
Gout = Gaut => phonetic alphabet [ɡaʊt]
Gut = Gat => phonetic alphabet [g^t]
Cut = Kat => phonetic alphabet [k^t]
Cat = Ket => phonetic alphabet [kæt]
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Unajuwa kitu ambacho natofautiana na wrwe ni kidogo sana. Hizo alama kwa unavozielezea wewe watu wengi humu hawatozifahamu. Waelezee kila alama unazozitaja zinatamkwa vipi na kwenye neno kama lipi kwa mfano. Mimi nimetowa mfano mzuri tu wa maneno matatu tofauti lakini karibu mara zote hayatamkwi sawa.
1. Hut
2. Heart
3. Hurt.
Tupe mfano wa maneno hayo kwa kutumia hizo phonetic alphabets kwa matamshi ya alphabets za kawaida ili watu wengi wapate wafahamu.
Kwa upande wangu kutoka chekechea mpaka nilipofikia hapa sijawahi kusomeshwa English na Muafrika wachilia mbali Mtanzania. Na kubwa zaidi nimekulia huko wenye lugha yao japokuwa hii lugha haikuwa ni sehemu ya masomo ninayofuatilia na kwa maana hiyo siwezi kumsomesha mtu. Inapokuja kuongea na kujieleza basi niko much more comfortable kwa Kiengerza kuliko hata Kiswahili. Tuwasaidieni wenzetu wanaouliza sio kujisifia nini mtu anajuwa. That's the whole.point.
fronti peyjiinatamkwa fronti peji
FrastreshenFrustration
Saikiatristipsychiatrist- ujanja wote hili neno nalikimbiaga natumia shrink
KarakteristiksiCharactaristiki
1.(e)inthuziastiki1 enthusiastic
2 edherence
Sakatrikipsychiatrist- ujanja wote hili neno nalikimbiaga natumia shrink
Sakatriki
Saikiatristi
2 Adherence sio edherence1 enthusiastic
2 edherence
English huwa haishindiliwi mwishoni. Kwa hiyo hizo i mwishoni hazipo.siti, siiti, saiti
Umenikumbusha spelling bee. Neno refu kuliko yote.Nisaidieni hili neno "pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis"
1.. WorcestershireKama ilivyo ada basi uzi huu ni maalum wa kuelekezana kutamka maneno ya kiingereza ambayo yanakuchanganya kutamka, weka utasaidiwa humu.