Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

Hili neno sijui hata kirefu chake kinaandikwaje na hata maana yake siijui kabisa...hii lugha ndo maana wengi inatushinda,yan kinachoandikwa ni tofauti kabisa na kitamkwavyo....hatari sana
Linatamkwa hivyo hivyo...it is an informal American word
 
Sasa hapa tumeelewana, maisha yote ukifuata phonetic huwezi kukosea kwenye lugha ya watu mfano mzuri maneno haya hapa:
Where inatamkwa weya
View attachment 1321368

Neno Were wabongo wengi hulitamka weya lakini sio sahihi, kwa isahihi hutamkwa waa
View attachment 1321371

Neno Determine hutamkwa Ditamin
View attachment 1321373

Nadhani sasa tumeelewana

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Mkuu umeelezea uzuri lakini kuna kitu umeshindwa kukipa umuhimu lakini ni muhimu sana katika Kiengereza hasa hasa kwenye British English (BrE). Kuna kuvuta herufi kwa mfano hilo neno determine = ditamin kiuhalisia linatamkwa ditaamin kwenye neno ta linavutwa kidogo. Na hii ni muhimu sana tena sana kwa sababu kuna maneno yanafanana na tofauti yake iko kwenye kuvuta herufi tu. E.g
1. Hut = hat
2. Heart = haat
3. Hurt = haaat

You can check this example:

One week without water makes one weak.

Wiki moja bila ya kunywa maji inamfanya mtu huyo awe dhaifu.
 
Unaelewa maana ya hizi kwenye dictionary?
a
æ
3:r
Kama huelewi matumizi ya hizi basi dictionary yako unafungua na kusoma kama namna kasuku anavyomeza maneno.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Mkuu uko sahiihi kabisa mimi ni Kasuku ninayemeza maneno hujakosea hata kidogo. Lakini kuzijuwa hizo alama ama kutozijuwa haiwi ndio sababu tosha ya kufanya mtu akawa anatamka neno sahihi. Tunschoelimishana humu ni kujaribu kuelimishsna namna ya kutamka maneno. Sasa unapotuuliza kwa kuonesha uwezo wako wa elimu ya lugha bila kutumbia hizo zinatika vipi kiuhalisia itakuwa unaingia kwenye kundi la kina Kabudi wamaotuonesha manjonjo ya elimu zao bila ya manufaa kwetu wananchi. Suala linabaki pale pale watu wanataka kujuwa kutamka baadhi ya haya maneno kwa kutaka practical solution.
 
Hizo alama kila moja ina maana yake na ukiikuta kwenye dictionary katika muundo wa neno basi ujue hilo neno pia inajulisha juu ya utamkaji wake.
a pekee
æ pekee
a:r
Pitia dictionary hata ya kwenye online ili uone jinsi vinavyoandikwa na vinavyoelezewa.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Mkuu uko sahiihi kabisa mimi ni Kasuku ninayemeza maneno hujakosea hata kidogo. Lakini kuzijuwa hizo alama ama kutozijuwa haiwi ndio sababu tosha ya kufanya mtu akawa anatamka neno sahihi. Tunschoelimishana humu ni kujaribu kuelimishsna namna ya kutamka maneno. Sasa unapotuuliza kwa kuonesha uwezo wako wa elimu ya lugha bila kutumbia hizo zinatika vipi kiuhalisia itakuwa unaingia kwenye kundi la kina Kabudi wamaotuonesha manjonjo ya elimu zao bila ya manufaa kwetu wananchi. Suala linabaki pale pale watu wanataka kujuwa kutamka baadhi ya haya maneno kwa kutaka practical solution.
Chief Then huwezi amini mimi ni O level, lakini mwalimu alienifundisha English kipindi hicho alikuwa na Master.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
 
Chief Then huwezi amini mimi ni O level, lakini mwalimu alienifundisha English kipindi hicho alikuwa na Master.

ᴮᵉʷᵃʳᵉ ᵒᶠ ᵗʰᵉ ᶜᵒᵛⁱᵈ ⁻ ¹⁹
Unajuwa kitu ambacho natofautiana na wrwe ni kidogo sana. Hizo alama kwa unavozielezea wewe watu wengi humu hawatozifahamu. Waelezee kila alama unazozitaja zinatamkwa vipi na kwenye neno kama lipi kwa mfano. Mimi nimetowa mfano mzuri tu wa maneno matatu tofauti lakini karibu mara zote hayatamkwi sawa.
1. Hut
2. Heart
3. Hurt.
Tupe mfano wa maneno hayo kwa kutumia hizo phonetic alphabets kwa matamshi ya alphabets za kawaida ili watu wengi wapate wafahamu.

Kwa upande wangu kutoka chekechea mpaka nilipofikia hapa sijawahi kusomeshwa English na Muafrika wachilia mbali Mtanzania. Na kubwa zaidi nimekulia huko wenye lugha yao japokuwa hii lugha haikuwa ni sehemu ya masomo ninayofuatilia na kwa maana hiyo siwezi kumsomesha mtu. Inapokuja kuongea na kujieleza basi niko much more comfortable kwa Kiengerza kuliko hata Kiswahili. Tuwasaidieni wenzetu wanaouliza sio kujisifia nini mtu anajuwa. That's the whole.point.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom