DidYouKnow
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,094
- 1,691
Huu ni uzi maalum kwa ajili ya kurekebisha makosa ya uandishi wa maneno na sarufi katika lugha za Kiswahili na Kiingereza.
Nitaanza na maneno ya kiingereza chart na chat.
Mara nyingi watu wanaopiga soga huandika "chart" (ile ya chati za hesabu), lakini neno sahihi walilopaswa kuandika ni "chat".