Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,744
- 25,447
Uzi mzuri sana huu
Kuna hili jina ni la mahali uko UK. Linaitwa Carlisle. Asee ambae atapatia kulitamka nampa vocha.
Ila kuna boss wangu kwenye kikao kila siku yeye chaos anatamka kama lilivyo badala ya 'keos' halafu gossip anatamka kama gospel. Huwa natamani nimfate private nimwambie anakosea ila nahisi anaweza kuniona mjuaji so namuacha na michapio yake.
Wapi wazee wa ditamaini.
Bila ku google mzee hutoboi. Mimi mwenyewe nilisikia kwenye mechi nikajua commentator kakoseaMwambie hata kama atakuona mjuaji sasa atakushukuru baadae mueleze, kazidi sasa hadi gossip...how the hell yeye ndio boss
Matamshi ya Carlisle ni —-Kaa-lile, nilidhani
Kaa-lili
ikanibid ni look it up kwahiyo sideserve hiyo prize
Bila ku google mzee hutoboi. Mimi mwenyewe nilisikia kwenye mechi nikajua commentator kakosea
KaalailMwambie hata kama atakuona mjuaji sasa atakushukuru baadae mueleze, kazidi sasa hadi gossip...how the hell yeye ndio boss
Matamshi ya Carlisle ni —-Kaa-lile, nilidhani
Kaa-lili
ikanibid ni look it up kwahiyo sideserve hiyo prize
Nisaidie matamshi ya “Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis”.
Nisaidie matamshi ya “Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis”.
hujui inavyotamkwa au unataka utafsiriwe kwa kiswahili!?Front page
Characteristics neno hili nlilijua nikiwa darasa la tstu, wallah nliona dunia yote kama ahera nikaichukia inglish kabisa, na aliyekuwa anafundisha alikuwa head teacher mwanamke alikuwa na mimba ikawa hainipendi mm so kila akiingia laIma nile mboko kwanza kipindi ndo kianze.
And alikuwa best sana na mama yangu na mm nlikuwa napendwa na mama yangu kupitiliza coz ni last born. Urafiki wao ulifia pale.
Vocha ipo kweliKuna hili jina ni la mahali uko UK. Linaitwa Carlisle. Asee ambae atapatia kulitamka nampa vocha.