Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,091
- 136,649









Long taimu no siiKhaaaa we binti hazard si yupo mbona unamtesa kijana wa watu
Haya hebu cheki uone kama Julius kakutumia email![]()




nimeiona halafu uhandishi tofauti na Ngabu niliyemzoea yaan inaonekana nje ya jf upo mpole mpole
Nimeshinda poa shem wangu mimi hofu kwako tuLong taimu no sii
umeshindaje shem?
nimeiona halafu uhandishi tofauti na Ngabu niliyemzoea yaan inaonekana nje ya jf upo mpole mpole
Nashukuru shemNimeshinda poa shem wangu mimi hofu kwako tu
Hahahahhh yaan mpole mpaka nimekushangaa nataka nifungue ya yahoo niibadili iliyokuwepo niweke ya shualina jfHahaaaaa
Nje ya JF niko mpole kweli!!
Huwezi amini ndo mimi!
Nafurahi shem kusikia hivyo ndugu yangu mzigua yuko apiNashukuru shem
mim nko poa kabisaaa
Katoka jobNafurahi shem kusikia hivyo ndugu yangu mzigua yuko api
Ndio napokupendea hapoo...mambo zakoo?Khaaaa we binti hazard si yupo mbona unamtesa kijana wa watu
Waaaacha weeeeI wanna c yuu tu mai rafiki kipenzi.
Hivi yuko single huyu???Khaaaa we binti hazard si yupo mbona unamtesa kijana wa watu
Nakuja mahali fulan tuonane mara mojaWaaaacha weeee
Kupatwa kwa shualina
Eti we upo single?Ndio napokupendea hapoo...mambo zakoo?
Msalimie sana shemejiKatoka job
Ana pumzika kidogo.
Poa jamani mzimaNdio napokupendea hapoo...mambo zakoo?
Ndio my jj...ndio maana nataka nipate tulizo kwakoEti we upo single?