Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,633
- 38,733
haya mamiiNakuja tuyajenge
haya mamiiNakuja tuyajenge
Ni kweli shemejiSi unajua lazma mwli wake lazima uchangamshwe kabla hajaingia jikoni
Baby wake jamani shemeji yangu mm yupo hapaHaha si anasema anawengi
Haseme nini kila siku analia lia hapa na wewe hazard ulikosea sana kumpa ujumbe Demiss wenzio wanatongoza wenyewe unakuwa kama sio mjanjaTatizo hasemi
Ewaaaaaaaa hayo ndio maneno sasaNakuja tuyajenge
Haseme nini kila siku analia lia hapa na wewe hazard ulikosea sana kumpa ujumbe Demiss wenzio wanatongoza wenyewe unakuwa kama sio mjanja
ujumbe haujafika mpaka leoHahahhahahandio nilikuwa huko mawindoni
Unaona sasa angejiingiza mzima mzima mwenyewe sasa hivi angekuwa anabebishwa![]()
![]()
ujumbe haujafika mpaka leo
Leo kwenye kudanga nilikuwa na vichwa vingi mnooo ndio mana jf nimeingia mida hiiHahahhahaha
Hahaha demiss aliniambia nitulie hapo kwa jj..alirecommend kabisaHaseme nini kila siku analia lia hapa na wewe hazard ulikosea sana kumpa ujumbe Demiss wenzio wanatongoza wenyewe unakuwa kama sio mjanja
Mwache achelewe chelewe atakuta mwana si wakeUnaona sasa angejiingiza mzima mzima mwenyewe sasa hivi angekuwa anabebishwa
Hahaaahaaa staki kabisa kukumbukaLeo kwenye kudanga nilikuwa na vichwa vingi mnooo ndio mana jf nimeingia mida hii
tusije tukavamiwa hapaUtakua hukumpa hela ya ushenga weweHahaha demiss aliniambia nitulie hapo kwa jj..alirecommend kabisa
Hahahahah Demiss ni mwehuHahaha demiss aliniambia nitulie hapo kwa jj..alirecommend kabisa
Shauri yakeMwache achelewe chelewe atakuta mwana si wake
Kwani yupoHahaaahaaa staki kabisa kukumbuka![]()
tusije tukavamiwa hapa



toka ban ya usiku alirudi tena
Hajarudi lakini sasa huwezi jua wamo humu humu,asije akasema hamjakoma eeee ngoja nifungue id niwaoneshe kaziKwani yupotoka ban ya usiku alirudi tena
Adui wa mtu ni mtu shoga