Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Tupo wengi sema hujaamua kutupa nafasiAsanteee mwanaume aina yako mpo wachache sana
NimeshathibitishaAnakuja kuthibitisha
Nashukuru shemHahahhaha sawa shemeji acha nikuhurumie
Umèmwendea pm auNimeshathibitisha
Sawa shem nimekupenda unaonekana unajali tatizo ndugu ana list ndefu usije ukasema sijakwambia ukimuona huko anaitwa itwa babeNitajirekebisha shem
Sipondei tena shemSi vile unavyopondea shem
Hahhaha huamini kwa nini sasa au mpaka siku nije kuwekwa jf ndio utaamini Ngabu
Khaaaa mm tena we si shemejiTupo wengi sema hujaamua kutupa nafasi
Inaonekana unapenda pm eenh watu tunamaliza jukwaani tuUmèmwendea pm au
Teh teh yeah!
Ya kuwekwa JF huwa siyaamini!
Nayoyaamini ni macho yangu, ana kwa ana.
Ukiamini ya JF basi utaamini Ngabu ni kibabu. Utaamini Ngabu anaitwa Julius na kadhalika!







