Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,103
- 136,763
Hapana sio wa chocolate mbona ningeringa shunie mm weusi fiii
Siamini!
Hapana sio wa chocolate mbona ningeringa shunie mm weusi fiii
Ebu weka picha tuhakikisheAkaa yangu matiti
Sasa si usingesema ungeenda tu kimya kimyaHapana bwana
Nmeomba aje pm kuepusha kuwatia watu wengine majaribuni
Haina shidaHapana sio wa chocolate mbona ningeringa shunie mm weusi fiii
Si ndio hapo sasa.
Shunie ana wivu kama kachanjiwa




jamani sasa naonaje wivuKuwa na moyo wa huruma basiShemeji vigezo vimemuangusha huwezi tongoza jukwaani angezama pm tu
Anakuja kuthibitishaSiamini!
Ila mimi sina ubaguzi wa rangi
awe dark skinned au light skinned yote sawa
cha muhimu utelez uwe mzuri





yaan wewe kama budege huchagui yeyote twendeNitajirekebisha shemSasa si usingesema ungeenda tu kimya kimya
Si vile unavyopondea shemjamani sasa naonaje wivu
Hahhaha huamini kwa nini sasa au mpaka siku nije kuwekwa jf ndio utaamini NgabuSiamini!
Asanteee mwanaume aina yako mpo wachache sanaHaina shida
rangi ni rangi tu
Hapana ya mtume wamesemaHii ya liwali labda.
Hahahhaha sawa shemeji acha nikuhurumieKuwa na moyo wa huruma basi