Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Ila anajiamiani ndio uanaumeShemeji ako anaogopa asije akaja pm akakumbana na wenzie![]()
Hahahaaa. Cheupe pee huyo asikudanganye.




acha kumjaza Ngabu si unajua wasukuma wanavyopenda vyeupe hakawii kuniletea iPhone xNaona umefuraaàaahiiiiiii baby to be wangu
subiri nilewe nimwage radhi




usisahau kutuma na video ukishalewa ukiwa unayarudi magomaBudege ndio mtu wa aina gani shemyaan wewe kama budege huchagui yeyote twende
Wenye sura hizo wataalamu wanasema ukiwa nao kwenye mahusiano mtadumu kwa muda mrefu sana. Ndio maana napambana kumpata mtu kama huyo ambaye ni wewe.Sura ya baba tatizo ndo mana naificha![]()
Naipenda sanaInaonekana unapenda pm eenh watu tunamaliza jukwaani tu
Shemeji budege ni yale magari ya kubeba taka yanakuja mtaani kila week yanabeba taka zote si unaona hayachaguiBudege ndio mtu wa aina gani shem