ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,408
- 45,799
Nilitegemea kupata mchongo ila wapi!!! Weak end ovyo!!!Weekend yako leo imekuwa kama ulivyotaka?
Sometimes unaweza kuamka ukaanza siku yako vizuri ila ghafla bin vuu kitu kinatokea na kuharibu vibe lote
Ikitokea hivyo unafanya je kurudisha vibe yako?
So, weekend yako iko kama ulivyotarajia, au kuna something imevuruga vibe?
Au kwako safiii tu!
ShesRise_1 ✋️#Weekend
Mwambie rafiki yako secretarybird akukopeshe hela 😅Koo linatamani chochote issue hesabu hazikai lkn lzm ninywe hata mbili
Asante tutafanya 😊Msisahau kufanya mapenzi
Poleeee🫂🥹Nilitegemea kupata mchongo ila wapi!!! Weak end ovyo!!!
Huyo mbamizwa tuu 😂..... Mgumu kama uchumi wa mjombawe kasongoMwambie rafiki yako secretarybird akukopeshe hela 😅
Hongera yako👏🔥Imekua vizuri zaidi ya nlivopanga.
Hongera sanaWikiend so good ndo wikiend ya kwanza kutochomoka home baada ya kustop 🍺
Mbili tu unakwama wapi? Walevi huwa hatunyimani mkuu. Weka lipa namba.Koo linatamani chochote issue hesabu hazikai lkn lzm ninywe hata mbili
Wasisahau kutumia condomsMsisahau kufanya mapenzi
Hatuna wakufanya nae 😅Msisahau kufanya mapenzi
Honestly weekend yangu imeenda fyongoooooo haina ladha mbayaaa🙄Eeh weekend yangu imekuwa mchanganyiko, asubuhi nlikuwa na plan nzuri lakn jamaa wa posta akaniharibia... ila nikawasha hii wimbo wa Diana Ross nikarudisha vibe, hakuna kama old school kukaa poa. S wewe je?
Hata kwa kukopa Mkuu hakikisha unapata kitu roho inapendaKoo linatamani chochote issue hesabu hazikai lkn lzm ninywe hata mbili