Weekend ya mwisho kabla ya Disemba - njoo tuzungumze

Weekend ya mwisho kabla ya Disemba - njoo tuzungumze

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
14,968
Reaction score
36,438
Nimemuona mtangazaji mmoja anasema “ni bora kufagia sakafu za mbinguni kuliko kusimamia korido za kuzimu” ikiwa ni ujumbe maalum kwa vijana na wote wanaotaka kuiona Tanzania mpya.

Tubadilishane mawili matatu;
  1. Tabiri habari kubwa itakayotikisa mwezi Disemba na tutakayofungia nayo mwaka.
  2. Tupia nyimbo yoyote ya harakati ya kuburudisha au kutia moyo tukielekea D9.
  3. Weka ujumbe wako kwa mwanaJF au mtanzania yoyote tukielekea siku ya uhuru na mwezi wa mwisho wa 2025.
  4. Je, kuna memba yoyote ambaye hakurudi baada ya mitandao kurudishwa na inawezekana amekua mhanga wa Oktoba 29, 30 na 31?
  5. Uliza swali lolote unalotaka kwa dhati kufahamu jibu lake na memba watakujibu.
 
Namba 3

1.Hatutaki link za youtube ukiweza idownload tuwekewe mbichi kama ilvyo

2.Vijanana wakiamua kutoka wasiwe na visirani vya kupangwa wasisumbue maanko zao mtaani siku hiyo tutakuwa tunakula tunda kimasikhara, sio wanakuja mtaani kulazimishwa wazee watoke barabarani

3.Na mwisho tunawatakia kila la kheri kupambana na serikali yenye bajeti ya kununua bunduki kila mwaka toka uhuru upatikane wao wakiwa na mawe
 
Back
Top Bottom