njoo tuzungumze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kiume, Njoo Tuzungumze Kiume

    Kuna kosa ambalo vijana wengi huwa tunalifanya tunapoanza mahusiano. Tunakutana na msichana leo, kesho tayari tunaanza kuishi kama mume na mke kiakili. Kila muda ni simu hasa nyakati za usiku,video calls, passwords za mitandao ya kijamii tunabadilishana,tunaanza na mipango ya majina ya watoto...
  2. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Weekend ya mwisho kabla ya Disemba - njoo tuzungumze

    Nimemuona mtangazaji mmoja anasema “ni bora kufagia sakafu za mbinguni kuliko kusimamia korido za kuzimu” ikiwa ni ujumbe maalum kwa vijana na wote wanaotaka kuiona Tanzania mpya. Tubadilishane mawili matatu; Tabiri habari kubwa itakayotikisa mwezi Disemba na tutakayofungia nayo mwaka. Tupia...
  3. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Taa nyekundu ikikuwakia, simama, kuendelea na safari ni kujitakia kifo

    Njooni huku; naona kwenye ule uzi mwingine tumevamiwa na jinsia ya upande wa pili, ngoja tuwaachie. Mahusiano ni kuvumiliana na kuchukuliana madhaifu yetu, ila kuna wakati unasema hapana, siwezi kuendelea. Ladies, nini kilikutokea kwenye mahusiano kikafanya red light iwake kichwani na umuache...
Back
Top Bottom