Weekend Story! The Workaholics Silence

Lala leo huku kwetu umeme umekatika afa cm zinakaribia kuzima tushazima data na kuwasha mpaka nahic nitaiua cm. Fanya hisani tu nisome nikazime kasimu kangu.
 
Nilikuja speed nikajua nmechelewa ndege kumbe bado bas sawa saa tatu sio mbali na hi leo ijumaa hata episode mbili hazina tabu
 
huyu mwanamke yuko vizuri sana "upstairs"...so much talented af anajua mambo kibao,kila kona yumo...ki shuleshule tulikuwa tuna waita "much know",yani katika kila angle ana idea flan

Yuko smart sana....kishuleshule ...msuli sisimizi matokeo tembo....
 
Mkuu huyu she anajua mambo mengi si mchezo, anafaa kuwa FBI
 
uandishi wako ni ule wakina BEN *MTOBWA* fulani hivi....story ukiisoma unapata picha halisi..sio story mambo ya kufikirika kibao .....



Majina mengine bana

yah..BEN ROBERT MTOBWA...vitabu vya mwanzo utakuta mwandishi BEN MTOBWA baadaye BEN R MTOBWA..Hili ni gwiji la kuandika riwaya Tanzania ....TUTARUDI NA ROHO ZETU, ZAWADI YA USHINDI, NYUMA YA MAPAZIA, MALAIKA WA SHETANI, DAR ES SALAAM BY NIGHT na vingine vingi.....
 
nilisoma vibaya jina niliona km MTOMBWA, Daah mawazo yangu sijui yalienda kwa Stacy!

ha ha..weekend hii ndo ishaanza ukute upo kwa vitu virefu tayari......au ndo ''ugawadu'' umezidi.....au unasubiri timu pinzani kunako 6 kwa 6....
 
Mhmhmhmhmmmmhhhhmmhhhm weekend hii ukute keshapewa za ofa katusahau huku ohooooooo mjini hapa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…