hapa team Harry lazima muutafute mpira kwa tochihahaaaaaaa hapana malika sijui ni mdudu gani kaja kuchukua nafasi ya stacy kila kitu kapewa yeye upendeleo tu huo lara maana nimezoea wanawake wa gill hawakosi kasoro
Sasa sister Lara wewe unaona jinsi mabinti wanavyodengua kwangu,basi hebu niunganishie hata mmoja tuuu.
Basi mda wa kula, Gill akimpiga jicho Rodgers anampa doleee kwamba safi sanaa Malika yuko viwangoooo. Mmmmh! Moyoni anajisemea wewe jishaue tu kama sijakupa laana.
Basi nitaendelea kukuchokoza sana ili unimiss zaidi.Ha haa nilikumiss uchokozi wako tu
Sawa najiongeza sana tu lakini wanadengua kwa sababu wanataka mtu muongo na mimi sipendi kusema uongo.Ha ha ha wewe jamaa una vituko sana.
Jiongezee tu, mademu wapo tu
Gill IQ yake ipo chini ya Marrie, pale hawezi kufanya tricks zozote.
Sasa unasemaje? maana mwenye maamuzi ya kufanya kiutu uzima ni wewe tu au vipi? sasa si tukachungulkiane tu au tukafunuane tu au vipi?.Maana hayo mavituz hayana kuoneana haya coz ukishakubali yaishe unapagawa na unaanika mzigo hadharani tu na mwenzio wala haoni haya wala utani,yeye anajua wazi kabisa kwamba hilo tendo limeumbwa kwa wanadamu walitumikie na kuijaza dunia,yaani mwanaume yeye ana bakora na pia mwanamke ana tundu au shimo,kwa hiyo fimbo lazima iingie tunduni au shimoni.Ha haa nilikumiss uchokozi wako tu
Si umeona "Mke" kapewa 50 yeye kaipiga panga kitu cha 20.. Ujumbe Uliyotufikishia kuhusu BADOO nimeuelewa sana
Stacy ni kitu cha Harry.
Sema hana mpunga tu ila ni mafia kumshinda Gill.
hapa team Harry lazima muutafute mpira kwa tochi
hahaaaaaaa hapana malika sijui ni mdudu gani kaja kuchukua nafasi ya stacy kila kitu kapewa yeye upendeleo tu huo lara maana nimezoea wanawake wa gill hawakosi kasoro
Hahahahaha..............pole zao upepo umewabadilikia vibaya sanaTeam Harry wanakunywa Diclopar, na ndo kwanza dozi imeanza.
ha ha ha ha!! mmeanza kujiteteaNa kweli tutautafuta kwa tochi, refa si wenu bwana!!!