Weekend Story! Glory Be To God!

Na mimi ndio dada yake TWH.

Basi kama ni hivyo, TWH awe kana mimi najitoa kiroho safi. Wewe si unajinasibu unajicontrol? Inatakiwa kwenye strory uchezee mechi viwanja vyote, mchangani, ugenini, nyumbani, kwenye mvua, kwenye vumbi...
 
Dee anahasira za kuua mtu,akifikiria hali ya mke wake na tabia mbaya aliyonayo hahahahahhh,afu anaemtegemea kumpoza kapigwa kibendi na msomali na kuna mtu anaitwa Tonny analeta gozigozi hahahahahhh! Patamu hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naanza kusoma kwa utulivu Wa hali ya juu.....
Shukrani kwako Lara
 
Basi kama ni hivyo, TWH awe kana mimi najitoa kiroho safi. Wewe si unajinasibu unajicontrol? Inatakiwa kwenye strory uchezee mechi viwanja vyote, mchangani, ugenini, nyumbani, kwenye mvua, kwenye vumbi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mie bado under 18.
Mama hapendi

- KANA -
 
Inshallah Mola akurudishe salama lara. Alafu uage unasema unaleta bidhaa gani.. Man of the people na ukoo wake wote wa humu watanunua.. Si lazima uwepo ww.. Unatuelekeza sehem ya kuchukulia afu unampa ata mpemba.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hapo kwa Mpemba hapo kuna neno!

- KANA -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…