Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Me mwenyewe Dee nampenda, haswa akiwa loyal hubby kwa PendoSio kwamba namchukia Dee, namuhurumia Msomali na manyanyaso, dharau na kekeli.
Inafahamika kabisa sina roho mbaya
Teh I wish ningekuwepo live muda anazipokea hizo taarifaUmefurahiiiiii!!! Hizi taarifa sijui dee atazipokeaje!!
Sema whaaaaaaaaaaat!!!!!!!Ujue mmenifanya nikasome tena vizuri pale mwishoni, mimba ya miezi miwili na wiki kadhaa; mbona kama ni ya the man himself msomali au just my wishes?
Yani hapa roho kwatuuuuYani hadi nimeshangilia..tony katuokoa team roho mbaya[emoji23][emoji23]
sent from paradise
twende zetu mama tukajipongeze kwa ushindiDaaa kweli nina roho mbaya. Yani Sally nimekupendajeee, wapi team Dee? Tonny kwa niaba ya msomali, tunakushukuru sana sana.
Daah inabidi tucelebrate
Haha jomoniiii rahaSema whaaaaaaaaaaat!!!!!!!
Alafu kweli, maana si after two months baada ya msomali kuondoka ndio aliduu na tonny!!!
Duh watu ni hatari eti xxxxxxxxxxxxxxx kwa msisitizo yaani
Ngoja mi nisubiri yeyote tu
Kwetu tunaojicontroll."Kwetu" unamaanisha nini aunt?
Ngoja nikutathmini kwanza, uko level za msomali au tonny!!!Mi nipo honey, nipe mualiko tyuu!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
- KANA -
Usipopataka ndo zinakuja kiulainiiiiMimba zina viranga jamani!! Nazo hazionagi pa kunasa khaaaah!!!
Kwetu tunaojicontroll.
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Haha jomoniiii raha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nikutathmini kwanza, uko level za msomali au tonny!!!
Hivi kwanza alimchunia Tonny kwa muda gani hadi anapima mimba? Angalau tu iwe ya tonnyUsipopataka ndo zinakuja kiulainiiii
Kujicontroll naweza. Adress nilikupa, nashangaa ubuyu hautumi.Kunipa address ya ubuyu tu imekuwa nongwa kujicontrol utaweza?
Haha shindwa na roho mbaya yako khaaaHivi kwanza alimchunia Tonny kwa muda gani hadi anapima mimba? Angalau tu iwe ya tonny