carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Haina kwa niaba hiyo,msomali kwashindwa kazi...ila msomali si mtu mzuri ndo nini kumiacha mwenzie vile??Daaa kweli nina roho mbaya. Yani Sally nimekupendajeee, wapi team Dee? Tonny kwa niaba ya msomali, tunakushukuru sana sana.
Yani hii ndio kura ya kwanza wengine waliopiga kura daahMafundisho.
Mie kidagaa tu!Ujuzi? Unacheza kiwanja kimoja na akina kana , Tarime one unafikiri utabaki salama? Mavampire wengine sijawataja utapona kweli kwenye hii bahari? Papa na nyangumi wamefurika....
Ha but at least sio mimba ya Dee. Roho ingeniumaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kujeni hukuuuuu
Kuna mtu kaokota dodo chini ya muarobaini.
Yani msomali kasimamia kucha all that long lakini wapi, huyu bwege kugusa tu imoooo!
- KANA -
Si kasema asubiriwe miaka miwili au mitatuHaina kwa niaba hiyo,msomali kwashindwa kazi...ila msomali si mtu mzuri ndo nini kumiacha mwenzie vile??
Hahaa wanakutia majaribuni na "control"Mafundisho.
Mnakumbuka niliwaambia msione kobe kainamisha kichwa.. so far as long as mimba sio ya Dee, then the game isn't over yet.Haina kwa niaba hiyo,msomali kwashindwa kazi...ila msomali si mtu mzuri ndo nini kumiacha mwenzie vile??
Spare your comment!Ha but at least sio mimba ya Dee. Roho ingeniumaaaaaaa
Msomali sijui kama atarudiSi kasema asubiriwe miaka miwili au mitatu
Sasa miaka mitatu yote wasomaji tupo tu tunamsubiri arudi?Si kasema asubiriwe miaka miwili au mitatu
Haha hapana kwa kweli, hata akimuelewa Dee haina uzito sana. Nimefurahiiiiii.Spare your comment!
Sally ka admit anamuelewa Dee. Dee yupo mjini wakati msomali yuko huko kusikojulikana na anaomba apewe miaka mitatu!
So anything can happen sweetheart!
- KANA -
Mimba za hivyo zinaishia kutoka tu mana stress zake si za nchi hii...sema hata akizaa na tonny Dee atalea tu,kwanza sally bado anakubali mziki wa Dee na kashazoea mihogo[emoji23][emoji23][emoji23]Mnakumbuka niliwaambia msione kobe kainamisha kichwa.. so far as long as mimba sio ya Dee, then the game isn't over yet.
Teh basi hata msomali akirudi atamkubali tu, ameshazoea mazoezi ndani ya boxer [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mimba za hivyo zinaishia kutoka tu mana stress zake si za nchi hii...sema hata akizaa na tonny Dee atalea tu,kwanza sally bado anakubali mziki wa Dee na kashazoea mihogo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wee kweli humpendi Dee...msomali hana kitu tena kama vipi wamteke tu[emoji23][emoji23][emoji23]Haha hapana kwa kweli, hata akimuelewa Dee haina uzito sana. Nimefurahiiiiii.
Afu msomali is up to something, sijui anawaza kitu gani kichwani honestly, let's wait and read. ...
Basi hamfai kabisa.Yani hii ndio kura ya kwanza wengine waliopiga kura daah
Teh nampenda Dee akitulia na Pendo na mwanae[emoji13] [emoji13] [emoji13]Wee kweli humpendi Dee...msomali hana kitu tena kama vipi wamteke tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Team kujicontrolBasi hamfai kabisa.
Mtoto kuwa wa msomali haiwezekani mana si amesema aliingia mp baada ya msomali kusepa?anyway tusubiri next episodeWataonana tu kama mtoto akiwa wamsomali japo wamekata mawasiliano