Weekend Story! Glory Be To God!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] KANA kuwa mpole ujue
 
Nimewaza alie too harsh kwenye story ili nikupe jina lake nimemkosa.
 
Lara we konyo kweli Leo nimeota msomali wangu sema wakati anakaribia kunipa mambo nikastuka ndoton nimelaani mchana kutwa ndoto ile kutomalizika yaani
Ngoja nione leo kama msomali ataniijia ndoton tena
 
Halafu limekuja siku takatifu yaani shida. Nimelisoma niko nawashikaji ikawa shida niliondoka bila kuaga nilikoenda napajua mwenyewe Lara 1 mungu anakuonaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana nilikwambia lakini
Dude limekuja 18+ukisoma lazima sally/msomali wako awe pembeni lasivyo ni shida
 
[emoji23][emoji23][emoji23]pole sana nilikwambia lakini
Dude limekuja 18+ukisoma lazima sally/msomali wako awe pembeni lasivyo ni shida
Hahahaaaaa sasa wengine domo segere yaani nakwambia ni shidaaa. Na sally kwa vituko mmmmmh ogopa unapewa kujipimia unaona ahueni kifo cha mende
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…