Hizo Bwana asifiwe ziwe zinatoka moyoni kweli, sio za zima moto huku nafsi bado ziko duniani.
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji35] [emoji35]Habari ziwafikie
Compact
Ficus
juan moses
Samaritan
brenda18
womanhood
Cienfuegos
winner100
jonta
witnessj
aggyd
JembePoli
Atkins Mendel
Ficus
sohwa
mikwamba
Kyalow
Riwa
Namge
@Algator
Comrade Kip
MadamG
Ayanda85
Claret
babu na mjukuu
Snowwhite
Bonny
@rubuye1231
@prondo
dyuteromaikota
hazelyn
Donjama
Gogle
multiple
Afrah
Olivia Pope
carbamazepine
binti kiziwi
edgar Sr
ICHANA
hill and portion
red apple
KAHUSE
Qurie
espy
mahondaw
whitehorse
Code Breaker
Mbimbinho
ISO M.CodD
jay-millions
lazalaza
tya02
Alegria do povo
athuman zungu
@malaluko jr
Waseme
Prince Nadheem
Gwamahala
Mzigua90
Cauldron
angelita
topr
dawa yenu
strong gal
Shunie
@dst111
tejateja
subadesubking
jossiest
Rich Ze Best
255Gene
CHOKAMBOVU
Sonia G
Jack HD
kisengeli
TEAM hoarse
idaz
Heaven Sent
jonnie_vincy
singular
Michaelray22
kabanga
Mr Mikazo
Tarime one
sherberry
@Ipiyax
double R
Kadada
Cecilia Kessy
cesilia
subadesubking
it is me
moneytalk
Money Penny
@salma99
nchemime
Compact
Fake P
Word
griffin2
sammyluv
ABBYA
KIUNO CHANGU
-KANA-
CHOKAMBOVU
Queen Horse
m.agape
Maskini Jeuri
Miss ferrar
Horseshoe Arch
kassimneema
mjasiria
Omerta
kukumega
sajo
glory to yhwh
LOFA2030
ranyia
felinda
@montkafu
tozi25
Guasa Amboni
lafionaposh
lady v
dochivele
Masaki
Kwa mwanamke dyu dyu is not everything.Wanataka dyudyu tu. Maana wanajua he has nothing to offer than that. Aaaaagggggrrr!!!!!
Kubwa la maadui mi sitaki aokoke kabisa maana hizi raha tutazimiss sana. Nilipoona analeta story ya kipendwa nikawa nishasusa. Aaah Mungu mkubwa kaleta kitu chenyewe.Sasa kwa hii story ya lara 1 unaona kuna upendwa hapo? Lakini kila kitu ni hatua, hata shule tunaanza vidudu kisha taratibu msingi, sekondari kisha chuo. Mbona mnataka Kubwa la maadui abadilike ghafla usiku mmoja tu? Wokovu ni process
Ndio ujiandae kisaikolojia, ukirudi unaanza ndondo cup.Hata akirudi atauweza mtanange wa Al-shabaab?
Thubutuuuuuu!! Sema kwa mrs msomali.Kwa mwanamke dyu dyu is not everything.
It is the only thing!
Kwahiyo al-shabab yuko on the right track. Soon kiuno chake kitamjengea ghorofa!
- KANA -
[emoji23][emoji23]tena mfugaji awe lidya wataomba poo mwanamke anajua kunyanyasa yule ila anamfungua akili mumewe...hawa wengine team free p tu hawana chochote cha kutoa kazi kuringia dyudyu zao[emoji23][emoji23]Wameanza kujitetea. Acha wafungwe wafunguke akili.
Kwa mwanamke dyu dyu is not everything.
It is the only thing!
Kwahiyo al-shabab yuko on the right track. Soon kiuno chake kitamjengea ghorofa!
- KANA -
[emoji23][emoji23]kwahiyo team marioo aka msingi kiuno?Sio free,
Hawa wanakodi dyu dyu wanailipia kabisa!
Na mtaji wanatoa
- KANA -
Winnie naye anamfuga tu,unakaa na mwanaume nyumbani hajishughulishi mnataka mfanane au?Yule mbondei eti kabila nalo ni tatizo.
Ule mzigo wa winie kwakweli hapana.
Uwezo wa kusimamia mechi ndo mtaji wake,pesa hana na mechi ashindwe[emoji23][emoji23]mjini si patamshinda?Ndio maana nashangaa, inakuaje msomali hana pesa na anauwezo wa kusimamia mechi? Nikiwa sina pesa au mambo hayajakaa sawa siwezi chochote.
Mimi team DeeHivi kapten uko team ipi?
Msingi kiuno ni kujitoa ufahamu tu, hauwezi kuwa comfortable kwakweli.[emoji23][emoji23]tena mfugaji awe lidya wataomba poo mwanamke anajua kunyanyasa yule ila anamfungua akili mumewe...hawa wengine team free p tu hawana chochote cha kutoa kazi kuringia dyudyu zao[emoji23][emoji23]
Al shabaab kakalia kuti kavu yule,bora mwanaume mwenzie kaenda tafuta maishaHata akirudi atauweza mtanange wa Al-shabaab?
Huyo ashakua staki nataka!Thubutuuuuuu!! Sema kwa mrs msomali.
Na hata yeye huoni kuolewa nae kagoma? Hataki kuolewa nae maana anajua msingi kiuno sio kitu pekee anachohitaji.
Kweli unampa moyo mariooKwa mwanamke dyu dyu is not everything.
It is the only thing!
Kwahiyo al-shabab yuko on the right track. Soon kiuno chake kitamjengea ghorofa!
- KANA -
Acha tuwaoe bwana, si wametaka wenyewe. Ila marufuku kunyanyua midomo.[emoji23][emoji23]kwahiyo team marioo aka msingi kiuno?
Mwanaume unatakiwa kujituma kufugwa na kulelewa waachiwe wanawake
Yaani ningemtimuaaa, akasombe hata maji huko[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Winnie naye anamfuga tu,unakaa na mwanaume nyumbani hajishughulishi mnataka mfanane au?
Sio mario, mi team Dee[emoji23][emoji23]kwahiyo team marioo aka msingi kiuno?
Mwanaume unatakiwa kujituma kufugwa na kulelewa waachiwe wanawake
We huoni anajistukia kila kukicha anajua iko siku ataachwa tu...Msingi kiuno ni kujitoa ufahamu tu, hauwezi kuwa comfortable kwakweli.