Weekend Story! Glory Be To God!


Hahha pole sana jamani, nimecheka kama mazuri
 
Mwe mwe mweeeeh!!! ! Antie ubuyu unaokuhusu na mimi unanihusu. Ungeniita niliamshe dude maana sitaki ujinga kwa familia yangu.
 
kumbe ulipita nilikua na carba kuna boya tulikua tunaliuliza maswali kumbe tumemuuzi akaja na i'd yake ya pili eti nimemtapeli hela ya nauli akaweka na picha zake ndio shunie mimi mpaka uzi umefungwa

Niliona nikasema sitii neno mie nisije kusutwa. Nilijua tutakutana uwanja wa nyumbani. Hahahahaaaa isijeikawa kana ndio espy

Nilijua tu ule uzi hauna muda mrefu utafungwa.
 
Mie yanga hope wewe ni simba lasivyo nahama team.

Mie nna roho ndogo sana, kushabikia mpira au chama cha siasa siwezi. Sina team wala kadi ya chama. Nafurahia maisha tu.
 
Mwe mwe mweeeeh!!! ! Antie ubuyu unaokuhusu na mimi unanihusu. Ungeniita niliamshe dude maana sitaki ujinga kwa familia yangu.
Auntie ya jana kiboko tulikuepo na kina linamo sakayo na carba yule mtu hapana si kwa kuniwekea picha za ndg zake wa chato na kusema ni shunie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…