Weekend Story! Glory Be To God!



Bwana asifiwe mtumishi.
 
Kuna maeneo nimepita nimeona Shunie akisakama mtu nikatoka kimyakimya bila comment. Ndio nikajua kumbe espy ndio kocha wake. Wote wapo team roho mbaya
kumbe ulipita nilikua na carba kuna boya tulikua tunaliuliza maswali kumbe tumemuuzi akaja na i'd yake ya pili eti nimemtapeli hela ya nauli akaweka na picha zake ndio shunie mimi mpaka uzi umefungwa
 
Hii roho mbaya umeitoa wapi? Uhamiaji itabidi waanze kupeleleza uraia wako. Watanzania hatuna roho kutu namba hiii...
Hahahaaaa!! Kwahiyo waliompiga risasi Lisu sio watanzania?
 
Sally tena wakati ana ndoa sijui nne ukiachilia mbali ile ya Pendo! Ni kweli kaombewa ila msongo wa mawazo utampeleka Milembe. Ujue Sally alitoa msaada mkubwa sana kwa Dee. Sasa ameondoka unafikiri Dee atakaa sawa?
Kwa Mungu hakuna hayo mambo bwana we, msongo wa mawazo wa nini na tayari anae Yesu mwokozi wa maisha yake. Ni kumtumikia tu.
Saly msaada alotoa ni haki yake maana pesa za vyungu alizitumbua sana tu.
 
Kama Mungu ameweza kumuokoa kutoka mikononi mwa Jini MAKATA, basi hashindwi kumuinua tena Dee Pablo Escobar!

Al-shabab is dead and gone. Dead men tell no tales!

- KANA -
Tena kifo cha kizembe kweli!!!
 
Sally atamtafuta dee tu, msomali ye aliwe na mchwa tu na jehanam inamngoja.
 
Kuna maeneo nimepita nimeona Shunie akisakama mtu nikatoka kimyakimya bila comment. Ndio nikajua kumbe espy ndio kocha wake. Wote wapo team roho mbaya
We ulivyokuwa unamuombea dee mabaya ulikuwa na roho nzuri? We mwenyewe team roho mbaya tena team wauaji.
 
kumbe ulipita nilikua na carba kuna boya tulikua tunaliuliza maswali kumbe tumemuuzi akaja na i'd yake ya pili eti nimemtapeli hela ya nauli akaweka na picha zake ndio shunie mimi mpaka uzi umefungwa
Antie ubuyu mzito hivyo hata kuniita!!!
 
Antie ubuyu mzito hivyo hata kuniita!!!
Auntie najuaga hupendi hizo mambo za umbea bora hata ndugu yake msomali huwa namuona ona Heaven Sent ilikuwa balaa aisee eti nimemtapeli hela ya nauli nikamwambia nilikutapeli ndotoni mana pm nina mwaka situmii nikamwambia weka uthibitisho wa muamala na pm chatting anaweka picha zake za ndugu yake wa kijijini muoneni shunie jaman woiiii watu wanatumia I'd mbili na zote za jinsia yako ukipigwa ban moja unakuja na nyingine wengine ndio kama hivyo huku ana ya kike na kiume jinsia yake haieleweki ukimuuliza anakujia na I'd ya jinsia nyingine kukutukana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…