Team moja ila leo ndio roho mkononi patashika nguo kuchanika. Najua tu hatma ya Msomali itatoka leo....
Dee keshakaangwa ila naona kabisaaaa mbele kuna mwanga mzuri kwake, sio kwa maombi yale. Kama ugonjwa kapona hapo kuna nini tena? Nilishashona sare ya kwenda mazikoni na kupigilia msibani. Hahahahaaa
yani naona kabisa kuna tigo imekwanguliwa vocha wallahi!
we sally ni kutafuta mchungaji kweli ?
kabisa sally atoe milioni mbili sadaka?
halafu unaona zigo anahamishiwa Pendo.eti jinni makata linamfata Kilolo!
ujue huyu lara toka mwanzo hampendi msomali!
KAMFANYIA FITNAAAAAAAAAAAA AONEKANE DOMO ZEGEEE,tukanyamaza!
kafanya fitna aonekane wa kubebwa tuuuuu tukanyamaza
kafanya fitna aonekane anakula mtaji wa biashara,tukanyuti tu
kafanya fitna aonekane anazamia uk kwa harusi sie tupo tu
kafanya fitna aonekane baba asiyewajibika sie aaaaanhhaa
SASA NAONA KABISA DEEE PAMOJA NA MITUNGULI YAKE!
ANAKUWA MAN OF THE PEOPLE AGAINST ALL ODDS PARTNER!
mana amebeeeeeeeeeeeeeebwa deee jamani!
KUJIFANYA ANA MAPENZI BORA KAMA SHABAANA ROBERT!
wakati ana miunzinzi yake kibao!
HAISIMULIWI!
tunaambiwa tuuu juu juu,sijui Samantha sijui nani wa benki!
ILA HATUPEWI ANAWALAJE TIGO NA HALOTEL!
lara 1 SHUBHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAMIT KWELI!