Weekend Story! Glory Be To God!

Yani huyu mwanamke ni kiburi + bandidu si kwa kutupiga pipe ya akili sisi kiasi hiki. Dawa yako ipo na kwenye hili naomba back up ya team Dee wote...
Cc KANA
 
Yani huyu mwanamke ni kiburi + bandidu si kwa kutupiga pipe ya akili sisi kiasi hiki. Dawa yako ipo na kwenye hili naomba back up ya team Dee wote...
Cc KANA

Hapa naona team zote zitamgeuka. Ila tatizo lara 1 ndio Kubwa La Maadaui, Mamaa Betina, Komando kipensi, Mamaa Fitna full figisufigisu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Hii inaitwa kifuatacho ITV

- KANA -
 
Yani huyu mwanamke ni kiburi + bandidu si kwa kutupiga pipe ya akili sisi kiasi hiki. Dawa yako ipo na kwenye hili naomba back up ya team Dee wote...
Cc KANA
Tumeshaunda tume, fanani akizingua tunaenda mahakamani kama Odinga!

- KANA -
 
B yupoo kuna episode moja bwana wa Sally alifungwa akabaki mpweke nadhani ndo akatokea dee uyo aliyefungwa bila shaka ndo B kama sijakosea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…