Weekend Story! Glory Be To God!

Weekend Story! Glory Be To God!

Yaani hii ngoma bado mbichi, Dee na Msomali lazima wanyooshwe. Namuonea huruma Dee 🙁🙁🙁
 
Mi baunsa simkumbuki vizuri. Ni yule ambaye sally alimkayakata na viwembe?
 
Naona timu zooote mmeingia mitini. Jmani 10,000 nimeiwekea ushindi wa mezani. Msipotabiri tuonane kesho jioniii
Unazingua!!!we ndo kipa na magoli umeshika mwenyewe...so tukipiga shuti unahamisha tu ili tuwe tumekosea!!!
nb:Ushaamua kumpa Saaly Baunsa,mfungwa mwandamizi ili akabakilie mbali ka Hudda!...what is it with you and the bad boyz!!???ni kwenye hadithi tu au kuna historia na wewe!?
Sawa bwana.........
 
Baada ya Baunsa kuja kuni black mail pale kwangu, i was out of options. Kweli nilimpeleka jela well nilichangia na yeye alichangia kujipeleka kwanini mwanaume huna gari mpaka demu wako anaenda kuuza unga anunue gari? Kiukweli mimi sikupenda kabisaaa hali ya kwenda maeneo kwa mguu. And that time Dee had a car his dads car.

Nikawaza sishindwi kuuza unga fasta nikanunua bonge moja ya gari, kali kuliko la Dee. Nikaamua sasa nanunua gari iwavo na iwe. Sikumwambia baunsa cause i knew angenistopisha. Nilitaka ni msurprise tu. Ujue katika maisha ukitaka usifanye kitu washirikishe watu wakushauriii. Utachoka mwenyewee. Wala hutofanya.

Nikaenda kwa Abeid nikamtaja Baunsa nikapewa. Sikujua kuuza ni kazi,nilijua unga unajiuza wenyewe kumbe mpaka uwe na jina. Nikawa natembea nao kwenye bag, i facked up big time. Siwezi kuwaambia hata kaka zangu, wala baba wala baunsa. Siku hio niko na B tukawekwa mtu kati, ndo kajitolea kuniokoa.

Nilishinda ndani wiki, naumwa malaria na homa kali, nimeikosa jela hivi hivi. Nikaamua kumwambia Winni. Winny akamwambia baba yake cause he was a cool dad. Baba yake akasema Baunsa atasema ukwelidawa ni kutofanya nae contact yoyote ile naye na hata akisema tunamruja futi 10000. Hapo polisi lazima wanafatilia kwa kimya kimya usiende hata gerezani hata wapi. Nilitamani kwenda ila sikwenda.

Alituma watu na watu, barua kwa barua mimi nawaza future yangu, jela siiwezi kabisaa, kwanza baba yangu angekufaaa. Baadae zikaanza kupungua punguaa salamu zikaishaa sasa sijui aliacha kunisalimia au waliotumwa walichoka, na barua zika kata kabisaaaa. By this time nishaanza kutoka na Dee. I was young and naivee so not responsible for all this. Lawama zNikiwautupia utoto.

Akaja tena kurudi baadae niko na Dee ashaanza mambo ya nimzalie mtoto, siku namuona kwanza parception yangu juu yake ishabadilika kabisaa. Sasa sio B tenaa ashakuwa ex convict. Na mimi nishajitambuaaa mda huu najua wanaume ex convicts hawaendi kokote maishani, sitaki maisha ya zamani tenaaa. Nataka maisha yanayoeleweka na wanaume wanao eleweka. Najua mpaka anafungwa alikuwa bar man, he lives in one room! Why the hell in the world would i want him for me?

Akanifata kwa bashasha nikamuuliza hivi tunafahamiana maana sikumbuki. Akasema ndio tunafahamianaaa. Trust him kunikumbusha mpaka unecessary details. I still curved him either way. Nili assume his life is still whack! Weeeeee! Kuja kumuona tena ana Mark 2 Grand ndo zinatokaaaa. Mwili wa mazoezi ndo wazimu wanguuu, sio kwa Dee sio Msomali. Anavaa cheni shingoni OG kama ya mzee wangu, gold puree. Kikubwa gari ndo ilinivurugaaa.

Afia sikuwa na akili ya kujiongeza i sent him to prison afu nikamtosaa why karudiii, asije kuwa kaja kulipa kisasiii. Nikaamvaa kichwa kichwa. Akaniuliza unafanya nini namwa!bia nawinga winga vitu, ananiambia i want to take you to China. I want you to do serious business. Nataka uwe na ofisi kariakoo. Namwambia B hela utapata wapi? Anasema mimi mwanaume najua nitakapo zipataaa. Nishawahi kukudanganya? Namjibu hujawahi. Fikiria niliokwambia uliza watu niambie shingi ngapi nitakupaaa. Jamaniiii.

Kuuliza framw kariakoo million 15 pamoja na kilemba. Looooohhh! Akaniuliza nikamwambia ila nikajua hawezi kuwa nayo. Akasema twende tukalipeee. Sikuaminiii Sally mimi nakuwa na ofisi yangu kariakoo. Aaaaaaah! Atajua mwenyewe ndio twende. Kalipa nikakabidhiwa funguo. Mzigo ninao kidogoo tu. Akamwita mtu anaendaga China.

Anamwambia nataka shemeji yako aende China, shingi ngapi zinatakiwa, visa kila kitu, duka lijae top top. Akasema hapo labda Million 20. Akamuuliza lini unaenda? Akasema mwezi ujao. Akamwambia nataka muongozane, umuoneshe machimbo yote nakutegemea nataka awe top in kariakoo.

Ndo kuanza kwenda China sasa, njiani yule mchizi wake ndo kuniambia unabahati huko na B mtu wa moshe mtu wa mitikasiii. Wanawake mna bahati sanaa, uchi ndo kila kitu. Mwenzio anakaba huko wanavamia bank na silaha nzito, wanaingia front kifo nje nje, jela nje nje, afu mgawo wake anakupa wewe ufanye unavotakaaa. Chochote utakacho. Acheni tu wanaume wafanyiwe upasuaji waweke nyuchi za kike za bandia maana hata ukiwa shoga huambuliii mambo mazuri kama haya. Utafanywa baadae utaambiwa we si una pumbuu haya nenda front na wewe dume zimaaa. Hahaahaaaa! Wameona mwanaume si mashineee, isiwe kesi waingoe kabisaaa na pump zake zote waweke mashine ya kike. Hahaha.

Ndo kujua kumbe B sikuhizi jambazi, jamaniiii. Ila unalipa jamani huo ujambaziii. Njia nzi!a ananisifia huku anajikatisha tamaa au basi maana wanawake hamuaminiki mara siku mmekosana unamwambia ndo nililaa na na mchizi wako flani i am a dead man! Mi namtizimaaa tu. Na kama alijua B sio wa mchezo mchezo.

Anapiga simu usiku wa China sasa nioneshe Chumba ulicholala! Are you sure its the best hotel hapo mjini? Mbona kama shuka zimepaukaaa! Nimempa hela za kutosha uishi kwa raha. Hahaaaa! Anasisitiza jinunulie mizawadi kibao usijibanee baneee. Najinunulia mizawadiii basiii.

Nimerudiii China tulipanga tuonaneee, na nilitaka nimpe mambo si ya nchi hii. Nimeenda kwakwe subiriii subiriiii. Ndo kunipigia simu baada ya siku 2 yuko ndani. Khaaaaa! Nikajiondokeaa. Maana hapo inaweza kuwa miaka kama sio 10 basi 20 hata 30 sasa nasubiri nini. Na sikumuona tenaaa mpaka juzi. Ila mtaji nishapata wa kutoshaaa. Ndo kisa sikutaka tena wanaume wenye helaaaa.

Pale kwangu sikumtakaa hata kidogo, ila hakuwa mwepesi he blackmailed me about ishu ya unga. Nafanyaje sasa. Nikawa nawaza namtoaje, nikajipa moyo atafanya tukio karibuniii na kupata helaa nitarudi sitomkutaaa, au hata akikamatwa kwenye hilo tukio akaenda kufungwa poa tu.

Kikubwa kilichonishangaza alikuja Jolline kunisalimiaa. Basically she loves to complain about Dee cause mi si namjua fikaaa anaweza kuniambia hata details za ndaniii kabisaa. Akaniambia Dee kawaambukiza ukimwi na mwanae, afu kamuacha. Sasa Dee kaniambia mimi ni sickle cell, na mimi najua ni sickle cell kikubwa alikuwa insecure anahisi nitarudiana na Dee so akasema hayo ya Ukimwi kunitishaaa. Anakujaga kwangu mara nyingi as if kupeleleza kama nishaanza kurudiana na Dee au bado.

Siku hio kaja kamkuta B, kama kashikwa na ugonjwa wa nyege mvuruganoo. She was throwing herself to him! Na B nae akawa ana daka si nyama imejirisha sandakalawe. Akatoa nanamba na nini. Roho iliniuma sijui kwanini! Sijui sababu sipendiii uhanisi wa wanaume. Uliibuka mfarakano na mitusiii, kumkomesha nikaamua kutumia mbinu ya Jolline kuwa ana UKIMWI nimkatishe tamaa.

Nikaanza kumuuliza dada, huyu mtu anatokaga humu labda. Dada anasema mara chache sanaa. Mara nyingi yupo tu. Mmmh! Nikamuuliza hawaji watu wa ajabu ajabu kumfata hapa? Akasema hajawahi kuona. Mara nyingi yupo kajifungia chumbani kwake.

The more he is nice to my daughter the more it breaks the polls in my walls. Ila nikawa sitakiiiikuwa serious nae sababu namjua siku yoyote anakinukishaa. I felt sorry for my daughter anamzoea wakati anaondoka mda wowote. Na mimi ndo nilichokuwa sitaki, kibarua cha kwenda kumuona gerezaniii. Ila nawaza au kabadilika kweli. Ila simuamini.

Kingine nilichokuwa na mashaka nacho labda kaja kunilipizia kisasiii. He was waiting for the perfect time. Tangu Dee anifanyie yale mambo aiseee sikuwa namuamini mtu yoyote hasa huyu ambae i facked him up so many times. Dee mara moja balaa lake mliliona huyu na Dee nani wa kunimalizaa maana he didi time twice. Hapanaaaa iaseee.

Kuishi nae pale kama mwezi, nikaanza kumzoea, na kuchekaa maana mambo mengine yana chekesha. Hudda asichukue mashine yake ya kunyoa ndevu akajinyoa kichwani ikabidi nilivorudi amnyoe kichwa kizima. Baba yake alileta balaa sio la nchi hii. Kagomba kagombaaa kwanini mtoto kanyolewaa. Alivoondoka ikabidi sasa tucheke tu. Maana tufanyaje.

Hudda ndo alikuwa anatuchekesha sanaa, au dada, au hata yeye. Mda mwingine hata mimi. Mkikaa pamoja mnazoeana lazimaaa. Siku nikamuuliza kwa hio umekuja kunilipiza kisasiii nini maana niliokufanyia sio madogo. You understand i was young and naiveee. Anajibu if that is your way of saying you are sorry, then you are forgiven. Nikaka tu kimya. Akaongea kitu kimojaaa kiliniach njia pand. You are not young and naivee any more now. Afu akaishia hapo. Nikawazaa anamaanisha nini? Sikuelewa. Nikamtafuta Betinaaaa.

Betina hasikiliziii ishu nzimaaa anakomalia tu kutoa ushauriiii tu na ushauri huo sio mwingine mpeeee mambo! Mpe mambo! Sasa namuuliza nampaje nimekwambia kuna mambo mengi hayajakaa poa. Hasikiliziii sababu za msingi anakimbilia kwenye kumpa mambo. Namuuliza kama hataki hayo mambo je? Hahahaaaa! Si aibu hio. Anangangania anataka. Anatakaaa, we mwanaume kama yule wa kukaaa anashinda na binti yako bure bure? We mtu mzimaa mpe mambooo mengine yatajiset mbele kwa mbele.

Nikachoka kumuuliza vya msingi nikaanza kumuuliza ujinga wake, nampaje sasa? Anasema si yupo kwako pale, unawapeleka dada na Hudda ka msomali mnabakia wawili tu. Hahahaa! Nikamwambia we msomali humjui hawezi kukubali kirahisi, atakubali afu saa 5 usiku atatafutiza sababu yoyote awarudishe aniharibie plan. Hahahaa!

Akasema wapeleke kwa babu yao. Waambie wakae hata wiki, si wanafunga shule wiki ijayo. Ndo mpango mzimaaa. Namwambia Betina hunisikiziii, hajaniomba mambooo ujue yuko busy na maisha yake labda na Hudda sio mimi. Betina anangangania wewe si ulimpeleka gerezani mwenzio, karudi ukamfukuza, umemuita exconvict, people like him, hio nguvu ya kukuomba uchi anaipata wapi????? Ashajua sio kajua umemwambia wazi kuwa humpendiiii na wala kwako yeye sio kituuu kabisaaa. Basi ndo maana yeye anakuangalia tu.

Namuuliza sasa shoga si nimekwambia lile jambaziii, mda wowote linafanya tukio mbona tunakuwa hatuelewani lakini. Anangania yule wewe ukimdhibitiii ujambazi anaacha kabisaa, sababu anakupendaaa sanaa, kwenda jela kwa ajili ya mtu mchezoo afu mara 2. Nikamkatisha ya 2 kaenda mwenyewe na tamaa zake mi sihusiki ya kwanza labda. Ananiambia huusiki vipi wakati wewe ndo ulimtia utambii na mambo ya frame kariakoo, kwenda china mwenzio pesa hana na mwanamke anakutaka, afanyaje zaidi ya kwenda kuibaa akupe unavovitakaa? Shoga angu mtu mbaya sanaa utakuwa kvituuuko motoni, we si mzazi sahivi je ungekuwa mama B ungmchukuliaje mtu kama wewe.

Wale wote kina msomali hawakukupenda, Msomali ulikuwa unampa mpa vituuu, ikamlazimuuu kukupendaaa. Sio kwamba upendo ulikuwepoo ndani yake. Kama wewe B hukumpenda alikuwa anakupa kupa vitu ukamkubali sababu ya vitu vyake. Msomali nae hivo hivo ndo maana kosa dogo la sisimizi anatoa hukumu za tembo. Kama wewe unavomfanyia B. Dee ndio mlipendana ila kichwa chake hakiko vizuriii kabisaaa. He is a troubled person no love in the world can cure him. Wanawake watatu wote wamemshindaaa. Tatizo liko kwake.

Baunsa ashazoea kukununuaaa. Sahivi una pesa zako atakununua kwa shingi ngapi. Pale unavomuona anachuja akili akaibe hata mwezi au nyota aziuze kwa warabu apate pesaaa ndefuuu za kukununua wewe. Mi wanaume akili zao nazijua. The second time wakati anafanya na ujambazi unge mstop na kumwambia its alright you love him for who he is, Angeacha kupora kwa kitumia silaha. Ila shoga angu ndo kwanzaaa ulitaka frame kariakoo.

Sahivi hujacgelewa. Yule katoka njee lazima he is planning something big. Very big, this time anaweza kufungwa hata maishaaa. But you can stop him. Only you. You should you owe him years in prison. Ndo maana nase!a mpe mambo.

Alijua kunivurugaaa Betina acheni tu. Namwamvia mimi sina uhakikaaa. Mimi nimefanyiwa UMAFIA na Dee sina uhakika kama nitaweza kuponaaa. Anani blast alikufanyia umafia gani bwanaa mambo miaka imepita acha ujingaa. Usi complicate mambo zee zima mpaka papa lina sugu, unashindwa na nini. Sasa nakuamuru umpe mambo B. Hahahaaaaa! Ni amri sio ombi. Shoga angu usiniangusheee.

Nauliza nampaje sasa wakati hajaombaaa! Anangangania si unavua nguo tu unamfata uchi uchi unampa mambo. Kwani kuna chemical equations hapo? We jishushe tuuu, yule mwanaume ukijishusha tu anapata nguvu za kuku kabili. Mmmmmmh! Hahahaa! Tukajikuta tunachekaa tu.

Nilivurugikaaa tu. Nikarudi nyumbani nikawa sasa ujinga wa Betina umeniingia mpaka kwenye mifupaa. Namuangalia kwa mbali. Nawaza anapanga mipango ya kuiba nyota na mwezi akaviuze kwa waarabu natabasamu tu peke yangu. Basi nawaza mpango wa kumfata uchi uchi naishiwa nguvu kabisaaa. Mambo ya kutongoza kitambo sanaa na nilikiwa natumiaga makuwadi. Kumfata mtu direct sijawahi.

Nikatumia mbinu ya Msomali kumtuma Huddah! Mbinu hii nayo ina manufaa yake. Namjazaa, kumjaza mtoto inabidi utumie akili maana ukikosea hesabu tuuu, mtoto anakuumbua. Anasema Mommy said! Tobaaaa! Hahahaa! Sasa mi najifanya kumuuliza Do you like uncle to stay with us forever? Anasema Yes, yes,. Na weka sad face! Ananiuliza Will he mom? Namjazaa sasa! Why dont you ask him yourself? Hapoo hapo anakimbiaa, uncleeeeee! Mi najibanza nasikizia pembeni. Anamuuliza Uncle will you stay with me forever? Anajibu Maybe! Wanaendelea kulumbanaa.

Shule ikafungwa, likizo ndefu. Nikaamua kumsikiza Betina kumpeleka kwa babu na bibi. Afu anapenda kukaa kule anadekezwa. Bibi anamuogesha wakati huku anaoga mwenyewe. Bibi anamsugua mgongo. Yaania anamdekeza mpaka basi. Mpaka anakuwa mjingaaa. Dada anapenda kule nae anajipumzishaa tu. Hamna kazi. Babu ashazoea kujifagilia uwanja wake. Kufua ngua na za mkewe na za Huddah. Bibi anapika. Na kuna dada mwingine kule. Afu kitaa watu kibaoo story kibaoo. Wanakula vyakula vya mtaani. Wakisikia wanaenda kule wanaona hakukuchi. Nikamwambia B wapeleke mi nijitafakari.

Nikapika msosiii wa maana. Sipikagi si dada yupo afu yule mpishi wangu kaolewa anakuja na kuondoka. Weekend nampa off akae na mumewe. Nimepika nimekunywaa na bia! Saa 5 usiku hajaja! Nikampigia simu, uko wapi? Ananiambia nimelala huku huku. Khaaaa! Namwambia unalalaje huko bila taarifa, mi nimepika huku vyakula itakuwajee? Anajibu sasa? Nikamsonya tu. Nikafunga geti langu. Nikamwaga chakula chote kwenye sink sikutaka kukiona hata kwenye friji. Nikaingia kulala.

Baadae nasikia mtu anafungua geti kwa ndani. Nikajua wezi. Nikanyataaa. Naona B anaingiza gari. Karuka ukuta afu una umeme mmmh! Nikafungua mlango, na chakula nimemwaga. Mmmmh! Nikajua nitampoza na manenoooo. Kaja anasema hiko chakula bora kiwe kitamuu sio kwa kunirudisha mda huu. Chupiii ilinibanaa sio kidogooo. Nikaamua kumwambia ukweli kwamba nimekimwagaa. Akasema pika tenaaa! Mmmh!

Nikaanza kupika chips nifanyaje na soseji. Story hamnaaa! Upishi wa kimya kimyaa nawaza lile zoezi nitaliwezaa kweliii. Namuangaliaa kwa mashaka. Akala nikauliza uko vipi. Yupo fresh tu. Wamefika wamefikaaa. Nikamwambia mi naenda kulala.

Nimekaa nategemea labda atanifataaa wapiii. Si umama huu jamani. Nikasikia kaingia kwake afu kafunga na funguo hahaaa! Nikaka kama nusu saa. Nikampigia simu njoo mguu umekifa ganziii. Akaniambia Sally mi nalala mguu umekufa ganzi unyooshe. Hahaaaa! He was playing hard to get! He wants me to beg! Fine ill beg! Kwanza papa langu nani ananidai. Nikainuka na kwenda kumgongeaaa.

Anauliza nini tenaaa we mwanamke? Namwambia fungua tuongeee sina usingiziii. Akafungua na kujitupa kageukia ukutani. Namwambia niangalie basi nataka kukuombabmsamaha ujue. Anasema asubuhiii. Nikamwambia na mimi nalala hapa hapa. Nikaingia kitandani. Akaamka na kwenda kuzima taa, nikasema yeees! Akarudi kujitupa kitandani.

Nusu saa ikapita bila bilaaa. Nikaanza kumchokoza chokozaa! Namkumbatiaa namsemeshaaa! Hujani miss! Huja miss mambo yangu adimuuu? Namshika shikaaaa! Anajitia kalala. Nikasema fala weeee! Na kuanza kuondoka zangu. Najiinua nataka kushuka akanidaka.

Kumbe mambo anayatakaaa eeeh! Nyama yeye. Akaanivuta kwakeee, nikamda na matee fastaa fastaaa! Daaah! Kumbe mambo niliyamiss kitambooo! Yalikuwa mambo yanguuu hayaaaa kupenda kupigwa show za kibabe. Afu kitambooo sijapewa mambo adimuuu. Nahisi kama nazaliwa upyaaa. Daaaah balaa tupu.

Na Baunsa yuko vizuriiii, zamani sikuweza kupima uwezo wake sababu nilikuwa nalala nae kwa motives, lazima kuna kitu nakitakaa au nimekipata kwakeee. Sahivi mi mtu mzimaa. Na akili zangu na pesa zangu, nikilala na mtu ni kuji enjoy tu sio sababu ingine yoyote. Ndo nilipouona moto wa baunsaaa. Mpaka nikanishangaa nilienda kote kwingine kutafuta nini?

Mambo ya B si ya kitoto, au sijui sababu sijafanya mda mrefuuu sanaa, sikuelewaaa kabisaaa, ila niliwakaaa ndugu msomajiii. Afu B ana feelings zile unaona kabisaa huyu ana ji enjoy mpaka kwenye ukucha. Ukimshikaaa tu unaona kama anapigwa shoti ya umeme. Huku shoti kuleshotii kama si gridi la taifa kuungua ni nini?

Yani nimelegeaa kama mlendaaa. Mwanaume anajua kulalamikaaa mpaka anahamisishaaa! Tena anakubembelezaaa, anakusifiaaa, ni mwendo anakupa manebo mazuri mazuriii mwanzo mpaka mwishooo. You are my queen, you are my princess, you are all. Baby. Na hivi kaka njee kingereza mwanzo mwisho. Akishika sehemu lazima anaisifia kwanza.

Tofauti na Msomali akianza kuongeaaa ujue kuna kitu anakitaka au kuna kingi anaifosiii. Dee sio msemajii, mzee wa kupiga show za kimyaa kimyaaa. Akimaliza show ndo utamskia kuongeaaa. Ila Baunsa kama msanii wa blues na slow jams! Anakupa mashairiii mwenyeweee radio haiitajikiii.

Na mimi kanikutaaa msanii undergrounddd! Najilalamishaa mpaka najilizaaa hahaaaaa! Mjini mipango ndugu wasomaji jembe utalima lami? Basi wasanii wawili tukakutana stejini kama sio stage kuvunjikaaa ni nini. Sema na mimi nikaamua kuifanyia featuring style ya msomali ya kutumia uwanja wa fundi seremala kuleta siasa binafsiii.

Namwambia B i am sorry you had to do time because of me, i am sorry didnt cone to see you in jail, i am sorry i asked you for the moon and stars mpaka ukaanza kuiba ukapotea all because of me, to give me what i wanted. Hapo ndo namvurugaaa! Anadataaa! Mpaka akaanza kuliaa. Namwambia now its okay, ill be your woman, you wont need to give me anything. You wont have to do anything to be my man. Nilimvurugaaaa! Hizi mbinu za betinaaa kibokooo kabisaaa. Aliliaaa maskiniii. Basi mechii ikawa imefika patamuuu! Ikawa show show funga mwakaaa!

Alidataaaaa! Nilimdatishaa na yale manenooo kuliko hata show. Kweli alichosema betina wining points zangu kwa baunsa hazipo kwenye kuonesha miunoo fenii bali kuiteka saikolojia yake ndo mpango mzimaa na ndo kila kituuu! Na nilionaaa hio kitu.

Mambo yakawa yamefikia patamuuu! Ile watu mnaunganika rohooo! Sio mwili tenaaa! Aaaaahhhh! Show kama hizi zinakuwa kiroho zaidiiii. Naona saa nakaribia kuzimiaaaa. Namuuliza hizi tatoo za nini baby! Ananiambia makovu hayo nimechora tatoo kuyafichaaa. Sssssssshhh! Namuonea imaniii. Aaaaaah! Asikwamvie mtu mkibond na mtu roho safi sanaaa.

Nikaona sasa nipeweee mkuyatiii tu, haina jinsiii maana nakaribia kupasukaaa. Nikamuombaaa baby nipe mambo! Ananiuliza umemiss sanaaa! Najibu mnoo mnooo. Ssssssh! Please now baby. Anadataaa! Makiss sio ya nchi hii.

Nishajitegesha kifo cha mendeee, si mnajua nishakuwa veteran, kitambo sijaingia ulingoni naanza kwa hatuaa. Sijui ilikuwajeee sijuiii kitu gani? Sijui shetani aliona nitafaidi sanaaa akaamua kunikomoaaa sijui. Ila jini mkata kamba akapita kati kati yetu na sumenooo la chuma na kuikata kambaaa kati kwa ka kati.

Ulimi usiniteleze na kusema DEE nipe mambooo baby wangu. Lauhaula la kwataaa! Akapause ghafla kama kamwagiwa maji ya baridi. You didnt just call me Dee! Did you? Kabadilika hapo! Mi najizoa zoa kufanya damage control ya fasta fatsaa! Sio hivoo hivooo. Kainuka kavaaa. Nambembelezaaa saa 10 mda huo, ulimi umetelezaa B. Naongea najiteteaaa nikajichanganya tena na kumuita Dee tena, tena kwa mara ya 2. Heheheeeee! Chinekeeeeeee! Heeeeey! Akasema you just called me Dee again?

Unampebda sanaaa Dee! Amekukaa mdomonii. Bora ungeniita Hussein not that cocksacker boy Dee. Hussein simjui ila Dee namjua mpaka basiii and i can have you calling me Dee all the time. You what i am gone. Ikabidi nikae kimyaaa maana nikahofia kusema Dee tenaa. Tena kwa mara ya 3. Akachukua funguo akawasha gari akaondoka. Nilijua lazima anaenda kwa Jolline. Mxiuuuuu! Yaaani.

ITAENDELEA USIKU
 
Unazingua!!!we ndo kipa na magoli umeshika mwenyewe...so tukipiga shuti unahamisha tu ili tuwe tumekosea!!!
nb:Ushaamua kumpa Saaly Baunsa,mfungwa mwandamizi ili akabakilie mbali ka Hudda!...what is it with you and the bad boyz!!???ni kwenye hadithi tu au kuna historia na wewe!?
Sawa bwana.........

Naonaaa wasomali mmeamua kuandamanaaa! Hahahahaaaa! Sio kwa style hio ya kunijia na mapanga. Jamani mi sina michezo hio ya kuhamisha magoliii.

Kamamvaunsa hakuwepo mwanzo kweliii, ila alikuwepookajaa teleee. Nisingeweza kumuibuaaa huku katikatibila kiwaandaa kisaikolojiaaa mwanzo. Hahahaaaaa! Mtanimezaaa
 
Back
Top Bottom