Naomba kwanza nijitambulishe kwenu ndugu wasomaji, kwa jina naitwa Baunsa au B, na mmeona huko nyuma natajwa tajwa tu juu tena bila msisitizo kwa mambo mabya tu. Na nawajua ndugu wasomaji mshanitoa maana bila kusikiliza upande wangu. I promise when you get to know me, you will love me dearly.
Hilo jina la baunsa nililipata udogoni, sio kwasababu nina mwili mkubwaaa, but i was skinny! Super skinny. Fido dido skinny. And when people called me Skinny ugomvi wake haukuwa wa nchi hii. Ndo kunipooza wakaamua kuanza kuniita Baunsa. Ikavuma baunsa baunsaa. Mpaka kesho watu wengi wananiita Baunsa.
Being Skinn nikaanza kunyanyua vyuma mdogo kabisaaa. Nitanue kifua na nini, nikivaa nguo nisionekane nimechomekewa kwenye hanger. Mwili ukaanza kuja kuja mpaka ukakaa mahala pake, kidogo nikalitendea haki jina la baunsa. Ukiacha mwili jina la baunsa nilipewa sababu ugomvi wangu hauishiii. Mpaka nishinde mimi. Nisiposhinda vitahusika visuuuu, viwembe, bisi bisi kweli nilikuwa Baunsa.
Sally mi ndo nimemtoa bikra regadless lolote litkalo semwa. Mi niliacha shule mapemaaa. Nimemaliza form four nikaingia kitaani rasmi, na tangu hapo nishakuwa mkora siku nyingi sanaaa. Nililelewa na mjomba wangu, afu mkewe hanipendiii so akawa ananinyanyasa sanaa sanaa. Sasa kunyanyasika nyumbani nikatafuta ufalme wa kitaaa.
Nakutana na Sally hapo mdogooo, baba yake anamlea kama yai, kaka zake wanamlinda kama malkiaaa. Siku ya kwanza namuona roho ikampenda sanaaa sanaa. Sasa situation ya kaka zake wakoraaa, Sally mwenyewe maisha bora, naambiwa baba yao alikuwa baharia nae mkora hatari, ana pisto nikakosa confidence kabisaaa. It was a loose loose situation.
Hapo sisi tunaishi eneo la mbali, nilienda tu kwa mshkaji wangu kitaani kwao ndo nikamuona. Nikaambiwa tu hizo level zingine. Nikarudi kujitafakari kwanza. Nikaamua liwalo na liwe. Nikawafata kaka zake, na kuwaambia mimi nimempenda dada yenu nataka nitoke nae. Walikuja juuu na kuchukulia kama disrespect ya ajabu. Vilishikwa visu. Nikawapooza, sasa nyie dada yenu hamtaki mtu yoyote amguse mtakuwa mna mna mtia nyieee? Nyie kaka zake mnatakiwa mtuachie sisi, mbona nyie mnakula dada wa watu, kwani wenywe hawaumiii. Mnamkosehsa dada yenu bahati, hatongozwi atazeeka peke yake. Mi nimewafata man to man kuwaomba ridhaa yenu, kiheshima na taadhima nimdate kistaarabu kabisa dada yenu, sababu sina nia mbaya nae, ningekuwa na nia mbaya nisingekuja front.
Wakatafakari pale yule mdogo akagomaaa. Nikajiongeza mkikubali tunaunganisha uhusiano wa kibiashara East na West mnakuwa shemeji zangu. Mdogo akasema labda Sally akikubali mwenyewe. Nikawaambia ya Sally niachieni mimi, nilichokikwepa ni vita na nyie. Wakasema wao hawana neno, as long as i treat her right.
Nikaanza kumnyapia nyapia akitoka shule, ananijibu kunyaaa, nawaambia kaka zangu watakupiga. Mmmmmh! Nambembeleza sasa kaka zako watakutiaaa? At a point lazima utembee na watu wa nje kama sisi wale watabakia kuwa kaka tu. Anakuwa mkali hanisemeshi ngooo. Mxiuuuu. Namwambia kwanza huoni haya huna bwana? Ukiwa na bwana kama mimi ndo mpango mzimaaa! Kwanza nafanya kazi, afu na muonekano, afu nina body kama la kwenye movies we nikubali ufurahi. Nina pesaaa. Hapo kwenye pesa ndo palipo mlainishaaa.
Unaweza kuninunulia simu? Namtuliza simu gani unataka? Nataka Motorola. Nikamjibu ondoa shaka nitakuletea kesho baby. Vuzi motorola sinaa mwenzenu ndugu wasomajiii. Hello moto iliniwasha moto mavuziii. Msione najishauaaa kote mkajua labda niko bank! Sana sana nilikuwa bar man, bar moja Masaki. Nikaanza kuona kweli kale katoto sioo. Nafanyaje. Hamad ikapatikana Motorola ya wizi, inatakiwa laki 3 cash. Na mimi sina hata 100. Ningekuwa mtoto wa kike ningeuza papa. Mtaani nauza bangi small time tena ya kutumwa siwezi kupata that cash.
Washkaji wananiambia achaa bwanaa, kwani lazimaaaa. Nikarudi tena kuonana nae, siku hii kanichangamkia, umeniletea Motorolla. Navowaambia Hello Moto iliniunguza vuzi zote msidhani masihara. Nikajibu nimekuagizia itakuja kesho baby. Basi ndo kusimama ananisikiza nimuongoze napotaka mimi. Nikaka nae bar, nakunywa bia anakunywa soda. She was fun, niliji enjoy sio kidogo japo hela ya Motorola sinaaa. Heheheee.
Nikiw bar wakanifata watu wakubwa sana, sio rika letu, wakaniambia tumesikia unatafuta laki 3. Nikasita kwanza. Wakaniuiza hio laki 3 unataka hutaki? Nikasema nawasikiliza. Wkaniambia kesho njoo magomeni mapipa kuna kazi. Nikauliza kazi gani? Wkasema hayatakiwi maswali. Sisi kaka zake Ally kuwa na amani. Roho inanidundaa, Sally namtaka, nikaenda hivo hivo Liwalo na liwe.
Mmmmmhhh! Kazi yenyewe ya kupaki unga kwenye kete. Mnapima mnapaki. Kazini mnaingia uchiii, mnafanya kazi uchiii, mkitoka ndo mnavaa nguo. Kuna wabibi, wababuuu mpaka ngozi za P zimesinyaa, vijana wamama, wa baba. Inataka moyo. Nikabutwaa kwanza. Naona wazee wanavuaa nguo kama kawaida, wananisalimia Bongo fleva vipii kushangaa feriii, si umekimbia shule wewe, ingia mzigoniii acha kutukodoleaa, mipapa hujawahi kuionaa, Bolo hata wewe linakuninginia hapo usilete uchuro. Nikaingia hivo hivo nifanyaje. Mnapaki masaa nane, malipo kwa idadi ya kete. Kila kete 100. Nilipaki kete 150 hadi wazee wakanisifia dogo utafika mbali uzuri hii kazi umeianza mapema, macho yanaonaa vizurii nguvu unazo. Nimetoka nimepewa 150,000 sikuamini.
Nikamfata yule teja, nikampa nusu, akanipa simu nikamwambia kesho nakupa iliobaki. Nikaichukua na kwenda nayo kwa Sally sasa. Mwenyewe simu kama ile sina. Akafurahiii, haamini. Akawa hana line. Nikampeleka mjini tukanunue. Wakati tunarudi akataka Ice cream mtoto, mfuko sina hela. Chupi ilinibanaa sanaa. Nikamdanganya nawahi kazinii nitakununulia kesho baby wangu. Alikuwa ashafurahi na simu. Jioni niko kazini namtumia sms ananijibu, tunafurahii wenyewe.
Asubuhi nikapaki kete 170 kwa uchungu mkubwa, maana 150 nadaiwa na 20 ya ice cream na mazaga mengine akitaka. Mie tenaaa. Jioni namfata shule. Jicho limechoka siajlala siku 2 zaidi ya kusiniza chooni tu, na one hr break. Akafurahi ananiambia simu hii kiboko yaaao. Sijui nini. Nikamwambia twende kwenye ice cream jana si nikuahidi. Akakubali tukaenda.
Akawa ndo demu wangu ila maintenance cost kibaooo kibaooo. Atataka hii mara kile mradi balaa tupu na mimi nakomaa. Sikuwahi kumpeleka ghetto sababu nilimdanganya mimi wa kishuaa, nilimuoneshea kwa uncle wangu. Sasa niliumwa Malaria, akawa ananitafutaa wakamuelekeza, nimelala hoi nasiki hoadi, nikajikaushaa, akazama ndani kanikuta hoiii. Akaniambia twende hospitali, sina helaaa. Nikakataa kataa, asiende kumwambia mwenye nyumba ndo kuja kunikokota wote mpaka hospitali. Natetemeka baridi. Ugonjwa wenyewe Malaria akalipa 5000. Nakomaa anichukulie dawa mseto za 300. Hataki akanichukulia Malafin enzi hizo 11,000 unameza mara 1. Nikameza pale. Kesho nikaamka na nafuu kubwa.
Jioni kaja tenaa, leo na nguvu nguvu, nimechangamka. Sasa nimejilaza, nae kaja kujilaza pale pale kitandani. Akaanza mwenyewe uchokoziiii ndugu msomaji sio mimi, akhaaaa! Mi nakwepaa, jela naigopaaa. Kaka zake wenyewe wasingeshindwa kumtoa mimba kunipasua na kuniwekea mimi na kunishonaaa hahaaa.Akaanza kulalamika hunipendiii una wanawake wengine ndo maana hutaki kufanya na mimi. Haaaaaaaaaaaa!
Sasa mtundu, mara kanishika huku mara kule, nikajua huyu mzoefu, nitamwaga nje. Najibanaaa nini watu washa anzisha wacha nimalizieee, kwanza kanila pesaaa zisizo na idadiii. Nika get serious in business ya kumpa mambo. Kinavopokea mpira unajua huyu mchezaji mzoefuu kabisaa.
Nashusha chupi, kaghairiii. Anasema tutafanya siku ingine. Khaaaaaaaaa! Nikasema huu umama. Hapo nimewaka hatariii. Nambembelezaa nipe kidogooo, hataki mpaka akaanza kuliaa. Nikasema hapa hata hio miaka 30 ya kubaka potelea poteeee. Nikakabanaaaa nikakabanaa, nikapata upenyo nikazamaaa mzima mzima, kumbe bikraaa. Khaaaaaaaaaaa! Nilichokaaa. Namuomba msamaha hatakiiii. Kaondoka hanisemeshi nawaza aaenda kusema kwao nimembaka. Nilihama geto siku hio, nafanya kuulizia siajja kutafutwa kila baada ya nusu saa. Naambiwa hamna anekutafuta tuliza nyege.
Wiki ikapita nikamfata shule, akanichunia, nimeleta simu mpyaaa. Hapo nishaanza kuuza madawa kitaaa pusher, chezea gharama za baby. Simu ikamlainisha, akaja mpaka ghetto, tukarudia sasa kwa furaha bila kujibana. Nimefundisha mwenyewe mpaka kazoea. Nikamwambia ukweli mi nafanya kazi bar, sina uwezo mkubwaa, ila nakupendaaa sanaa. Akaelewaa. Akija bar nampa vinywaji vya bure na shoga zake. Tulipendana sanaaa.
Gharama zikazidiii unga hautoshiiii, nikaingia kwenye ujambazi, nikakamatwa na mambo mengi mengi mpaka leo niko sebuleni kwake. Amekaa kaninuniaaa hataki story na mimi. Na mwanae aniita Uncle, basi anamdaka juu he is not your uncle. Who are your only uncles? Anawataja wale kaka zake. Mi nimejaa tele. Babu akaaga anaondoka, akaniuliza huondokiii. Nikasema siondoki sahivi. Akaenda kuoga na kurudi.
Tukawa tunaangalia Tv, akwambia Hudda kalete homework, akasema nimefanya na uncle. akasema leta nione, akaiona iko sawa, akamwambia kalale. Hudaa akamuuliza can uncle read me bed time story jicho likamwambia chumba hukioni we mwana unanitafuta nini. Kaanza na mimi ananimbia sisi tunalala. Nikasema na mimi ngoja nikalale. Basi ananiambia tunashukuru kukuona, karibu siku ingine, akaona naelekea vyumbani akajua naenda chooni kujisaidia niondoke, akashangaa naingia chumba cha wageni.
Akanifata, ndo kuona masanduku yangu, hapa ndugu msomaji ndo nimefikaaa. Akasema we need to talk. Na mimi namsikiliza tu, yes madam. Akaniambia Baunsa i dont know what you are thinking, lakini i wont play your game, times have changed, tumekuwa watu wazima, tuna watoto, sitaki mwanangu akae na watu kama wewe. Mmmmmh! Nikamkatiza watu kama mimi wana nini? Usiongee kwa mafumbo be direct.
Oooh watu kama wewe wamefungwa jela, you did time, is not the kind of people i want arround my daughter, najuaaa hujabadilika, you can have everybody fooled but not me. Sawa. Naomba tuelewanee, you are a ex convict ten convicted of serious crimes, narcotics, robbery, God knows what else. So please toka kwangu sasa hivi, and i am serious.
Nikamwambia I have forgiven you, for sending me to prison, not comming to see me ever, not even once, i forgave you, i let you take the high road while i took your fall. Me and you know that. Nimekuwa watu kama mimi becuase of you. Umenisalitiii weeeeeee thats alright but show me some respect, or else ....! Anadakia or else what? Whaaaat? You will tell m daughter about it? Or you will tell my boss about it? Nikamwambia sikia nikwambe, yule polisi yupo hai nawasiliana nae, ile kesi upelelezi haukukamilika. All i ask from you is BE NICE TO ME, thats all. Akabamiza mlango na kutokaaa.
The first conviction was a narcotics conviction, basically aliekamatwa na madawa na Sally and i didnt know she had drugs on her. Tumewekwa mtu kati na polisi, mi biashara nishaacha kabisaa, na najiamini. Anaanza kulia ananiambia ujue nina madawa hapa nilipo. Hapo tushawekwa mtu kati. Namuuliza nini? Umetoa wapi? Anasema kwa Abeid. Namuuliza we Abeid umejuajee, bAbeid ndo kule nilipokuwa napakigi. Analia anasema mimi nilitaka ninunue gari. We bwana wangu gari huna kila siku tunatembea kwa miguu nilitaka ninunue gari. Khaaaaaaaaaa!
Kumbe alimfata Abeid akamdanganya yeye pusha mzoefuu, kaelekezwa na mimi, Abeid akamuamini akampa mzigo wa kutoshaa. Loooohhh! Afu anao kwenye begi. Nikamwambia hilo begi nipe mimi. Akauliza alafu? Wtanikuta nayo mimi, we rudi nyumbani. Kweli wakanikuta na madawa, nikawekwa locup, nikaandika maelezo, yule Sally demu wangu hajui chochote. Sasa polisi wanamjua Abeid, wakamwambia Baunsa yuko hapa ana mzigo wako, akabisha Baunsa sijampa mzigo nimempa binti mmoja anaitwa Sally. Akaambiwa wamekamatwa wote.
Askari akanifata kuniambia dogo usiwe mjinga, madawa kumbe ya yule binti, mi nakupa karatasi ingine nyoosha maelezo tumfate kwao, uendelee na maisha yako. Nikakomaa madawa yangu mimi. Askari ananiambia dogo unapotea wanawake hawana shukraniii. Nakomaaa. Hawezi kusema kaambiwa na Abeid mchongo mzima. Nikapelekwa mahakamani baadae gerezani maana uchungi haukukamilika. In short Abeid anatoa hela kesi ipigwe dana dana. Na gerezani nilikaa la mahabusu kusubiria hukumu, hapo najua Sally ana miss sijui nini.
Iliisha miezi mi 3 haja kuniona hata mara moja. Mpaka kaka zake walikuja, nawauliza Sally vipi wanachenga chenga tu. Mpaka baba yao alikuja kuniona, ila Sally hakuja hata mara moja. Uliisha mwaka, nikawa nimechoka kabisaa. Nikamuandkia barua Uncle, mjomba wangu nisaidie kutoka, nimechoka kukaa huku, nimejirekebishaa kabisaa, naahidi nikitoka nitaenda chuo, sitofanya mambo ya mitaani tena. Nimejifunza kwa njia ndefu. Nakutegemea wewe mwokozi wangu. Mtoto wa marehemu dada yako kipenzi. Kuna mtu alikuja kuniona nikamwambia hakikisha namkabidhi uncle wangu mkononi.
Baada ya wiki akaja. Uncle wangu ni boss wa wizara, basi kaja kwa kujiiba iba, nikaitwa, nikawa naongea nae, ananiambia una uhakika umebadilika? Nasema ndioo uncle. Annaiuliza tenaa bangi na makundi umeacha? Najibu ndio uncle kwa adabu. Basi nitakutoaa. Ngoja nifanyie hili kazi. Ilipita miezi 6 mingine Sally hakuja wala nini. Baada ya uncle kuhonga sanaa sanaa nikatolewa kinyemelaa, na kutakiwa nisonekane mjini walau hata miaka mi 2. Uncle akanipakia kwenye lori kanipeleka chuo Arusha. Na most of all sikutakiwa kuwasiliana na mtu yoyote wa zamani anaenijua maana ningemuharibia mpaka uncle.
Niko Arusha namfatilia Sally kwa mbali, nikasoma certificate nikamaliza. Nikarudi sasa, nawaambia nimetoka jela, nimetoka jela wakaamini. Nikakuta Sally anatoka na Dee kipindi hiko. Tukakutana kama hanijuii, nikamsalimu ananiuliza hivi wewe nani tena? Namwambia Baunsa. Aaaaaaah! Hivi tunajuana? Namwambia mimi ndo nilikuwa nakumbato kabla sijafungwa umenisahau nilikutoa bikraa. Anajibu aaaaaaahhhhh! Nimekukumbuka maviii kweli.
Sahaivi bata zake ndo sio za nchi hiii. Hashikiiiii hagusikiii. Nikaingia mkenge kisa natafuta gari ya kumuimpress. Kuna mwana akaniambia kuna mchongo wa wazee wa kazi, mi nitaendesha tu, wao ndo watashika silaha kuporaaa. Gari nje nje. Kweli nikaingia kingi. Kazi kazi. Nikanunua gari jipya matata kabisaa Mark 2 grand. Mi Sally namjuaaa. Hakuchomoa. Ndo anajitia ananijua hatariii. Sikuja kukuona niliogopa utabadili mawazo uwaambie polisi ukweli. Nikamuelewaa.
Hatukutoka sanaa safari hiii, siku wakiwa kazini wakadakwa. Kama Mungu sikuwepo eneo la tukio siku hio, ila wakanitaja. Nikafatwa. Nikawahi kumwambia uncle kwamba sio kweli wamenitaja kunikomoa. Nikawekwa ndani na mwanzo kwenye kusomewa mashtaka niliunganishwa ila kati kati ushahidi ukawa hafifu nikatolewa kwenye kesi, na kwenye mashtakaaa. Uncle hakutaka kusikia nini wala nini akasema mji huu haukufaii ukikaa matatizooo. Nenda kasome ukae huko huko sikuhitaji hapa mjini.
Ndo mwisho wa kunonana na Sally, na safari hii hakuja tenaa wala nini, hata kufatilia nimeishiaje au naendeleaje. Na siku nakuja kukamatwa nilimpigia simu wa kwanza, kunipa poleee poleee ndo kimojaaa. Ndo mpaka leo hii nipo hapa naambiwa mie convict. Mmmmmmhhhh! Jamaniiiii. Acheni tu ndugu wasomajiii. Nikarudi sebleni kuendelea kuangalia BBC news kwa raha zangu.
Asubuhi nimemaka, nikamuandalia mtoto vya kula shule, nikajikaangia mayai, sijibaniiii, nishakaa nje nishazoea kujipikiaa aaah. Nishafanya mazoezi yangu. Kwanza walipitiliza mimi ndo nikawaamsha, wakakuta nishaanda kila kitu, msidhani nilipewa asante, thubutuuu. Convict tenaaa. Akaondoka kwenda kazini kwake, na mimi nikatoka kwenda kwenye shughuli zangu.
Nikarudi saa 7 usiku, niligonga gonga sikufunguliwa ngooo, nikaondoka tena. Kesho nikawahi kuja, sikuuliza kwanini sikufunguliwa, ingekuwa same i have a daughter bullshit. Nikanyamaza tu. Naishi kwa kuchuniwa. Nashukuru watoto wengine pasua vichwa ila sio Hudda. Ana upendo na mama yake kweli kamlea vizurii sanaa. Ingekuwa mi toto mingine you aint my dad. tobaaaa. Mchana mama yake hayupo so kuna ratiba zake hawezi kuzifata. Akaniambia i need to do Piano classes, need to do Tenis, swimming, ballet, yaani wiki nzima kila siku kuna kiratiba. Ananimbia mom said no driver. Nikamwambia mi nipo. Nikaanza kuwa nampeleka kwenye hizi ratiba bila mama mtu kutoa ruhusa.
Alivojuaaa alifokaa kidogo nyumba ibomoke, she is not your facking daughter, i get to say whta she does or doea not do, zaa wako kama vipi sijui nini. Kesho akawa amepoa namwambia vaa twende. Anasita. Akaja jioni fokaa fokaa, namkomaliaits not about you? It is about what the kid want. Akaelewa.
Balaa likaja kwa msomali ooh huyu mwanangu nitampeleka mwenywe i dont trust you, facking her mother doesnt give you rights to be his dad. Nika back off, nakumuelewesha Hudda Dady will be taking you. Anagoma i dont want daddy. I want you. Msomali siku ya kwanza kaja kachelewaaa sio kitoto, ila wakaenda. Siku ya pili kaja kachelewa tena. Ya 3 katuma sms kwa dada naomba namba ya Basha wake boss wako. Hahaaaaa! What a sense of humor. Nikampa dada namba. Akatuma sms, Man you gott a cover for me, i am stuck somehwere, i really appreciate it but she is still my daughter and you aint her dad keep that in mind dont try to be one. Hahaahaaa! Huku aniniomba huku anakunya. Nikamjibu tu cool. Tukaendaa. Mara nyingi nikawa nampeleka mimi.
Mwezi ulipita kwa design hii hiii. Siku akachelewa yeye kurudi na mimi nikafunga mlango kimyaa. Kagonga kagongaaa, kapiga simu kunitukanaa. Nikamkumbusha tu anaechelewa kurudi analala nje. Akatukana kodi nalipa mwenyewe navunja hili geti. Hahahaaa! Nikamwambia vunjaaaa. Kesho karudi kama kawaida mapema hilo swala halikuongelewaaa wala nini.
Hasira zishaanza kumpunguaa punguaa, mda mwingine anajisahau anacheka kidogo. Si unajua ukiishi na mtu taka usitake utamzoeaa kidogo. Ndo kilichotokeaaa. Tukaanza kuzoenaaa. Ila aktili akija mtu hanijui anasema huyu dereva wetu. Hahahaa! Au dereva wa mwanangu, na mimi nakubali ndioo. Kidogo niamini mapenzi yamekufaa yameoza hamna hata cheche, even on sparkle.
Akaja mdada siku hio anaitwa Jolline akanishobokea hatariiii, ile niombeee nambaaa niombe nambaaa. Anasifia Sally huyu dereva wako ana body la hatariii. Sally ananikata jicho ole wako uombe namba. Na mi nikajua it was time for me kutoa jokeri. Nikampa namba ya ukweli kabisaaa.
Kuondoka ikaanza kesi nzito kwanini umetoa namba? Nikamwambia wewe si hunitakiii? Naka hapa i am not getting any from you, how can i survive? I have to get any from outside. Analalamika wanaum wote mbwaaa tu. Hahahaaa! Kumbe kilimuuma tu.Sitaki mkutani hapaa, hamaaa, hamia kwak nae ana mjngo kama huu kaachiw na xhusband, si unapenda kufugwa. Namuuliza ar you sure nikihamia kule hutokufaaa wewe kwa kijibaa, anatukana matusi yooot. Nikamwambia mimi sihami, naipenda kazi yangu ya kumuendsha boss wangu Huddah! Although you dont appreciate me at all, Huddah does. Anakomaa wanaum Mbwa tu. Kwanza huyo dada ana UKIMWI na mwana wot wana UKIMWI.
Inasikitisha sanaa ndugu msomajiii.
ITAENDELEA KESHO MCHANA