carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
Hata mimi nimeshindwa kumuelewa kwakweliUlivyomkataa msomali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kam sio wewe vile uliekua unashangilia full picture!
- KANA -
Hii comment kama sio wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani msomali wenu mzee wa FP mnamkana[emoji23][emoji23][emoji23]Haha me nakuwa honest bana, siwezi kumtetea pa kumtelekeza mtoto wake, ni mpumbavu sana. Sally anamuomba mtaji anamnyima while ndiye aliyemtoa k/koo, bado mtaji huo huo ungetumika kuendeshea maisha ya mwanae. Kuna kitu nilitaka kusema ila lara atageuza gear angani teh
Eeehh maliq tena??Sally lazima aolewe na Msomali, iwe Hussein au Maliki lakini haendi zaidi ya hapo.
Ila hii kutajwa tajwa Tonny kwamba amebaki Single hakunipi amani sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe na Heaven Sent mlikua mnaninyima raha humuKwanza kabisa nmechelewa pili sina cha Ku comment tatu nichagulieni tusi la kumpa msomali
Eeehh maliq tena??
Badili gear angani uone kama dude kama halijaisha bila muelekeoKwani wasomaji ni marufuku kubadili gear angani?
Nasubiri bakora za sally tu
Wameishia kumtolea mitusi msomali wao!Yaani ni bora umfadhiri mbuzi utamla mchuzi au hata nyama choma ushushie na balimi[emoji23][emoji23][emoji23]ila si msomali bumbavu kabisa
Et ooh msomali karudi kulea mtoto wake shubhamitiii kabisa mbona kamtelekeza sasa
Maisha haya[emoji23][emoji23][emoji23]
Marufuku, usajili ushafungwa!Hata mimi nimeshindwa kumuelewa kwakweli
Wanamkana msomali [emoji23][emoji23][emoji23]utasikia wanahamia team sally
Maliq asijaribu kumtamani sally acha sally aendelee na maisha yake tu kwakwelSasa si afadhali kuondoa utata wa mtoto wa kisomali? Sasa Sally akiolewa na Mndekereko nywele za kipilipili kama Samaritan huku mtoto wa kisomali si ndio itaendelea kumsumbua maisha yote? Bora Malik anausomali na atakua na uchungu na mtoto. Si unaona na yeye mambo yashaanza kusetiwa kimtindo?
Wamemkana sasa [emoji23][emoji23][emoji23]Wameishia kumtolea mitusi msomali wao!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
- KANA -
Marufuku!Kwani wasomaji ni marufuku kubadili gear angani?
Naona msomali kamkaa kweli anamsogeza sally kwa maliqAshaku team maliq huyo!
- KANA -
Hebu watulie dawa iingieWamemkana sasa [emoji23][emoji23][emoji23]
Naona msomali kamkaa kweli anamsogeza sally kwa maliq
[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]hapa kama anasoma hizi comments naona ataandaa mijeredi kabisa aje kutukomoa tu,huyu director siye kabisaMmesahau miluzi mingi inampoteza mbwa? Tunachofanya hapa ni kumchanganya fanani tu. KLM anaweza kupiga tukio wote tukaomba sub hadi refa na washika kibendera wote. Usicheze na mabomu ya komando kipensi