Weekend Story! DESPERATE!

Sijui kwanini mwanaume anaweza akakuacha yeye ila wivu tena akapata yeye!! Mfyuuuuu!!

wanaume bana. Yeye hakutaki, akikuona uko na mwingne pia hataki. Yani hapo ndo ninaposhindwaga kabisa kuwaelewa jinsia hii ya kiume.
 
wanaume bana. Yeye hakutaki, akikuona uko na mwingne pia hataki. Yani hapo ndo ninaposhindwaga kabisa kuwaelewa jinsia hii ya kiume.
They are veeeeery selfish kwakweli.
 
Woa! Spit up
 
And that is the very reason we are called MEN, hata kama sina mpango wowote na wewe as long as tulishawahi kuwa wote...kukuona na njemba nyingine inahitaji PhD ya ujasiri kuvumilia...

wengne huwa wanalianzisha. Jamaa alimkuta ex wife wake bar yuko na kidume kingne, wacha abinue meza na kumwaga kila kitu.
 
Tunaisubiria kwa hamu ya kiwango cha lami Lara moko
 
wengne huwa wanalianzisha. Jamaa alimkuta ex wife wake bar yuko na kidume kingne, wacha abinue meza na kumwaga kila kitu.
Huyo unampa makofi ya kumuweka akili sawa, upuuzi gani huo!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…