Anna!
Swala la Fredy kuwa na mke, na mtoto lilinitatiza sanaaa. Mbona nilisikia Freddy hana mke, but he never told me that to be honest. Basi nikawa nimekaa naumiaaa naumiaaa roho inatokaaa. Usiku akapiga simu nikajua nitamjibu vibayaa, so sikupokeaaa. Sasa nimekaa naumiaa naumiaaa roho inatokaaa. Sina wa kuniliwaza, shiga nilieshibanamnae pia sinaaa, Zai analea huko nje hata hana mizuka kama zamani.
Ikabidi nimpigie Troy, sio kwamba nilifanya kusudi au namuona ngamia wa maonesho ila nilikuwa nimedata, na ukidata unaweza jikuta unamuomba baba yako mzazi ushauriii. Kabla ya Troy nikamuuliza K, akasema yeye hana jibu la kinipa kama vipi nimuulize Freddy mwenyewe. Sasa mimi kama mnavojua kumuuliza Freddy ni sawa na kumvuta simba sharubuuu.
Nikamfata Halima bonge, basi ananiambia mpaka umekuja kwangu basi yamekufikaaa. Mi sioni tatizo nini, kwani Freddy Mungu mpaka umuogope, si unamuuliza tu Freddy una mke huna? Naomba nipe jibu la kueleweka. Basi anakwambia ninae au sina? Kwanini kujipa stress zisizo na ulazimaaa. Muulize bwana wewe, unamuogopa nini, unajiteesaaa." Nikajiona Halima anatoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Nikawa sasa sina jinsi. Na kikubwa cha kumuuliza Troy ni sababu ni mwanaume so his advice is from Mens camp.
Nikampigia tukakutana, nikamueleza A to Z sasa namuomba ushauri. Ikawa kama siku ya 3, alivopiga sijapokea, na yeye hakupiga tena na mimi sikupiga. Troy akanishauri we nenda tuuu, gonga ingia jitambulisheee, utajua ya kujua huko huko. Ya nini kujibana bana bana. Kama Freddy hakwambii mama yake atakwambiaaa. Bora ujue kama mbivu au mbichi. Tena twende sahivi nikusindikize bila kupoteza mdaaa.
Na mimi nikakubaliana nae, nikaenda akasema mi nakusubiri kwenye gari we nedna ukajua lipi ni lipi. Mi na mimi nikawa na maconfooo hatariii nikaendaaa. Nimegongaaaa, akaitikia karibu. Nikaingia. Nikauliza freddy yupo? Akasema "Hayupo, mtafute kwenye simu yake, kwani alikwambia atakuwepo?" Nikasema nimepita tu nikajua labda yupo. Akasema "Hayupo". Tukawa tunaangaliana sasa maza ananjiuliza mimi nani, na nimefata nini na mimi ujasiri wa kumuuliza sina. Baadae akaja kijana mkubwa miaka kama 10 hivi, anamwambia "Bibi mi natoka bwanaaa" Bibi akagoma anamwambia msubiri Daddy anakuja.
Bibi akakumbuka hajanipa hata juice, akainuka kwenda jikoni, sasa na mimi nikaona hapa hapa huyu dogo namtight mpaka anipe ubuyu woote. Sasa nikamuuliza "Whats your name?" Basi ananimbia "Freddy Jr. Are you my dads girlfriend?" Natamani nimshushe sauti yule bibi jikoni asisikie. Nikamuuliza "Where is your Mummy?" Kibishiii kibingwaaa ile kimya kimya. Nikasikia "Bibiiiii she is asking me about my momy!" Kidogo nikimbieeeee dogo nuksiiii hatari. Nikawa nimekaa kama nipo uchi. Bibi akarudi kabadilika sura.
"Binti kama una swali unaniuliza mimi, kwanini kumpeleza huyu mtoto, una maana gani, ulitaka akujibu nini? Huna hayaaaa. I am calling Freddy" Mtumeeeeee, mtumeeeee. Nikakosa pozi zaidi ya kuondoka bila kuaga, maana namjua Freddy akijua i tried taking advantage of his son weee he will go ballistic, kwanza nimeenda kwake bila taarifa, afu nimeharibuuu haribuuu. Mmmmmmh! Nikaona pale hakuna jinsi.
Nimerudi kwenye gari Troy ananiuliza vipi? Nimekaa nahema tu. Nimepanic vibayaaaa. Nawaza sasa nifanyaje, akili inanienda kasi sanaaa. Sasa Troy firauni sanaaa, tena shubhamit, mi nahema juu juu, kuniconfort ananipa hug, mara kiss. Mara kisss. Kupanica kubaya sanaa unaweza hata jikuta umelala na hata mtu bila kutarajia.
Troy alivoona mambo yako level, akanipeleka kwake mi naendaa tu nifanyaje. Kwa Troy kuzuriii, sio kama nilivomtegemea kaendeleaaa kimtindooo. Ghetto la uhakika. Basi nipo kama nimevurugwaaa. Basi Troy anazidi kunivuruga Freddy ana mke, mi nakwambiaaa, mkewe atakuwa chumbani amelala mi nakuapiaaa. We achana nae you dont deserve that negativity in your life, bora uwe na mimi. Kwanza sina mke, na nina nia ya kukufanya mke wangu. Come we live together, we make a lifa. Yaani mi sina nia ya kukufanya side chick au nini nataka kukufanya uwe mke." Basi na zile stress akili imekufa ganzi namuona Troy kama malaika toka mbinguniiii.
Mda wa mechi, Troy anataka kukanyagia ringi yaani apite bila kinga, nikamgomea kabisaaa, anauliza baby huniamini? Nakuamini vipi na mama kijacho waarabu na mambo kibao. Nikamwambia mimi ndo sjiamini, ujue Freddy haaminiki ndo maana nakulinda wewe. Akaenda kununua kinga.
Troy kumbe mmasai bwana anazo 2. Sasa mi sijuwa najuaaaa, na wala sikuwahi kupiga mechi na masai. Nashangaa nagusaaa nakuta mambo siyaelewiiii, mkono ukanasa ukafa ganzi kwanzaaa. Nimegusa nini. Au nina minyoo imeanza kutoka nje? Nagusa mambo siyaelewiiii. Mwili ukafa ganzi kwanzaaa, na akili zikanirudiiii. Sasa Troy akajua nimejuaaa. Basi ananielezea jamani mimi mmasai, tukifanyiwa jando hawakatiii, wana isogeza tu ngozi na kuisokota come baby uta enjoy sanaaaa.
Network zangu zikarudiii hamu yote ikanitokaaa. Yani sema alishazamishaaa ile mara ya kwanza ndo basiiii. Nikajiektiii tu kukubali najiliza fasta fast ili amalize. Ila bado sijaelewaaa elewaaa yani sielewiiii. Ndo maana watu wanawangangania wamasai kumbe wana 2 loooh. Nikawa sasa nimepigwa bumbuwaziii. Kimoja kile kile nikaaga na kuondokaaa. Kanibembelezaa kanibembelezaaa wapi network hamnaaa.
Nimefika home nakuta missed call 20 za Freddy. Kumbe Troy aliweka silent simu yangu firauni yule. Nikawa sina mda wa kumpigia kwanzaaa. Nikampigia Z kumuuliza What is that? Z ndo kanielewesha bwana yule mmasai, inakuwa hivi inakuwa hivi ndo nikaelewa. Ila Z hakufurahi kusikia nimetoka na troy , actually sijatoka nae nime muonjaaa tu.
Nikampigia Freddy najua hapo angekuwa ballistic, walaa, akauliza simu yangu ilikuwa wapi nikajitetea nililala sasa ndo maana simu sipokei. Akaniambia njoo nyumbani. Wear something nice. Mda huo bwana nikawa nishavurugikaaa kabisaaa, naenda naenda tu kama narudiiii. Yaliotokea yangekuwa hayatokea ningekuwa na furahaa sanaaa. Ila pia nikawa na shaka ukute unaambiwa wear sometjing nice anaenda kukutambulisha mkewe, Freddy hashindwi. Roho moja inasema nenda, ya pili usiende.
Nikavaa nikaenda, nishaliwa mpaka na masai, what is there for me to fear in this world? Basi kwanza najiona mkosefuuu kichizi hapo hapo nawaza mwenyewe ana cheat kwa hio ngoma drooo. Nimefika mlinzi kaniambia subiriiii. Akaingia ndani akaja kuniambia haya ingiaaa. Nakuta taa zote zimezimwaaa.
Nikaingia naita Freddy, Freddy, Taa zikawashwaaaa, SURPRISEEEEEEEEEEE! "Happy birthday to you!" Wakaniimbia woteeee. Watu woote wa kijiweni walikuwepooo na mama yake Freddy na mwanae. Almanisraaa nizimie, na hivi bado niko jumpy from cheatting, kidogo nife ndugu wasomajiii. Nikajizoa zoa ku smile. Kumbe it was my birthday nishasau kabisaaa kutokana mambo ya mke.
Ikawa full party, Freddy ana upendooo siku hio kama utamjuaa, yuko close na mimi hatariiii. I should have been the happiest woman on earth but i wasnt. Ananibembelezaaa, nikambana kwenye kona "Mkeo yuko wapi?" Basi anababika " Anna you are so ungratefull in the middle of a million shillings party i am throwing you you have a nerve to ask me about my wife? When did i tell you nimeoa? Dont spoil my mood tutaongea hizo mambo later. If you cant appreciate the party atleast dont rub your ungratefullness on my face"
Basi kusikia hana mke, tumbo la kuharaaa likanibanaa, na nimeuza mechi kwa yeroooo masaii. Nikaanza kulia ooh Freddy, you are being so nice, akajua nalia kwa furaha kumbe nalia na mengi. Akanivutia chumbani anataka kunibembelezaaa kikubwaa, namwambia Freddy watu wako wengii, watatutafutaaa, Jr atakuja hapa kutuaibisha, basi tu akaishia kupapasa mzigo kwa uchu. Myoni nashukuru Mungu maana mzigo umeliwaaa.
Nawaza maybe i should just come clean nijisemee, nafsi ingine inasema acha usengeeee, kaa kimyaaa, hawezi kujuaaa. Nikaingia chooni na kumtumia Troy sms " Please let it be our secret" Akajibu usijali, siwezi kusemaa kituuuuu. Kuwa na amani. Nikapata nguvu ya kurudi beside Freddy. I should have ben so happy. I was happy so happy ila majutooo why couldnt i wait just few hoursss.
Baadae akaitisha ukimya ana tangazooo, mi bado nangaa ngaa macho, akaniita Anna, nikaenda nikajua tunakata keki, Akatoa PETE . Akapiga gotiii moja chini, "WILL YOU BE MY WIFE" Machoziii yakanitokaaa. Watu jibuuuuu, jibuuuuuuuuuuu, jibuuuuuuuuuuuuuu. Ile nataka kujibu Akaingia Troy mlangoniiii.
Life can reaaly fack you by nothing happening at all or everything happening at once.
ITAENDELEAAAAAAAAA SAAAAAA 4 NA NUSU USIKU.