Weekend Story! DESPERATE!

Masikin M namuonea huruma sijui K atafanyaje akigundua mkewe anamimba
Bora hata mimba ingekuwa ya Humphrey, sasa huyu mume wa mtu si ndio majanga!!
Aombe mtoto atoke mwafrika alafu afanane na mama, lasivyo K atakeketa mtu.
 
Hapo ndio atajua shetani yupo na anatenda kazi, mwanzo si aliamini Mungu yupo alipoambiwa alale apumzike!! Now ni wakati wa bwana mdogo kujidhihirisha.
Hahaha kweli sheitwan yupo
 
Hivi bwana viinglish ilikuwaje maana hata sikuelewa!!! Ilawe mtoto na wewe mweeeeh!!!
Sijui hata chapombe alitokea wapi!!
Na weweee, alianza kunitelekeza mwenyewe, mahaba ya mwanzoni kushney
 
Bora hata mimba ingekuwa ya Humphrey, sasa huyu mume wa mtu si ndio majanga!!
Aombe mtoto atoke mwafrika alafu afanane na mama, lasivyo K atakeketa mtu.
Tena atakeketa kwa jiwe,mana kumegewa amegewe na mimba tena?atanyonga mtu kwakwel...naona safar ya marianne hiyo na fuko lake la pichu
 
Tena atakeketa kwa jiwe,mana kumegewa amegewe na mimba tena?atanyonga mtu kwakwel...naona safar ya marianne hiyo na fuko lake la pichu

Oooh poor Mariane, hapa kweli kakamatika, ujanja wote mfukoni.
 
Tangu aulizie parking mwaka unapita tu, atashangaa tu yamenipata ya maruanne

Haha lara atakuja kututimua hapa, tukajambe mbele na vistory vyetu
mbona mariane!!
Asitutimue jamani maana tunavuta muda kusubiri episode nyingine, lasivyo tasinzia mie. Acha tujambe tu, tutafanyaje na ndio ashatukamata.
 
mbona mariane!!
Asitutimue jamani maana tunavuta muda kusubiri episode nyingine, lasivyo tasinzia mie. Acha tujambe tu, tutafanyaje na ndio ashatukamata.
Atuvumilie tu teh

Mwanaume laghai yule kama politician vile
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…