Weekend story! Dare the devil and face your own ghosts!

Mwenzangu saivi sitaki nipitwe... Nilikua nafatilia story ya sex slave nikaacha siku kadhaa ili nikute imeisha nijisomee kwa raha... Ni mpaka na leo sijawahi iona tena toka nlipokomea naumiaje roho.... Huyu Lara 1 mimi ntaenda nae sambamba
Nikusaidie hilo....mwisho aliandika kwa wanaotaka story ya slave sex inapatikana tsap unachangia elfu tatu kwa mwezi story inatumwa kuanzia jtatu mpka ijumaaa duhhb ndugu yangu nikajiunga navyopenda story nikakutana humo ndani hata kama story haijatumwa siku mbili n marufuku kuuliza nikavumilia ikatumwa nikakaa tena siku mbil hamna kitu kuuliza mbona watu wanaomba story ya mbali tofaut na uliyotutumia kumbe anawatu wake wengine anawatumia inbox ...duh. Kitenda cha kuhoji nilileftishwa
 
Mwee pole weeee..... Na hela ako akaitafuna na kuleftishwa not rait
 
uwiiiiieeeeee rauli hii huduma ya pastor naiihitaji maana huduma zote kimwili na kiroho!
 
Mission possible
 
Ahsante maana nimecheka zaidi ya mara 65 kwenye hii epsod
 


kUMBEEEEEEEE! Na mimi story itaendelea whats up 50,000 part 1 iliobaki na part 2. Huna kajambe mbeleeeeee. Sizingui, ukituma hela natuma story yoooote. Ndo kwanza inaanza hapa. Mjiandae kama huna 10,000 episode moja. Hela yako itapoishia ndo story iliobaki utajimalizia kichwani mwako, ukitaka Raul ashinde haya, ukitaka ashinde wewe tu, ukitaka Violla azeeke mwenyewe wewe tu na kichwa chako, ukitaka mwanamke mmoja Viola aolewe na wote there is no limit for you. Mnaniambiaje sasa?

NATANIA JAMANIIII! Hapa story bureee tu, ndo muombe Mungu zifike mwishoo. Uzuri vile za bure hata zikiishia njiani hamnidai hata kumi ahahahaaaaa.
 
Mwee pole weeee..... Na hela ako akaitafuna na kuleftishwa not rait
Yani wacha anajidai yuko busy kazi nying ohh msinipe stress kwanza hela yenyew buku tatu tukamwambia lakin ww si ndo umepanga bei na tuko wangapi? Na story inaweza chukua miez hata mitano kwa hyo stail yake ......ila ndio bongo hyo ubabe mwing for nothing ...wacha dada lara aniambie hata kama n laki japo alikatisha ile story ya yanga na simba inaniumaaaaaa
Mwee pole weeee..... Na hela ako akaitafuna na kuleftishwa not rait
 
Nini tena mama? Duu usitufanyie hivyo ujue
 
Hahaha
Aaaaaaaa dada lara kiukweli saiv nimestuka niliweka alarm ili tu niwez soma story mr.akaniambia huyo mtu kashakuharib akili sasa utaniharib mpka kiuchum weka wangu hizo gharama atakula mchicha mpka nipew talaka ...dadeqqq
 
Mmmh ... Mwambie laraa asifanye hivo atatuumiza wengine ujue
 
Mmmh ... Mwambie laraa asifanye hivo atatuumiza wengine ujue
Ifikie mahali tusipende miteremko hiv lara kaanza kitambo sana sidhan kama ataweka gharama kubwa hiv ila tu walau tumtie moyo kwa kipaje chake mm saiv ndoa naimudu walah mana mbinu nazozipata sijui nisemeje ..mr..utadhan nimemlisha limbwata ...kumbe lara...nina silaha za maangamiz hatari....
 

Atakuwa alifikia writers DOOM! Ambapo mwandishi anashindwa kabisaaa kuimalizia story hata iweje, either sababu kapata story ingine, au kaishiwa hoja na mnatiki za kuandika, au mood imemtoka tu. Kila mwandishi lazia awe na story nyingi tu zilizo nusu.

Mi tayari kwa JF ninazo 3 sijazimalizia, hata mtu aniepe hela siwezi kuzimaliziaaa. Sio kwamba sitaki au sijisikiii, nooo, siwezi tuuuu, hata nijitahidi vipi.
 
Hahaaa... Hongera zako
 
Atakuwa alifikia writers DOOM! Ambapo mwandishi anashindwa kabisaaa kuimalizia story hata iweje, either sababu kapata story ingine, au kaishiwa hoja na mnatiki za kuandika, au mood imemtoka tu. Kila mwandishi lazia awe na story nyingi tu zilizo nusu.
Ayaaaaaaaaaa sasa umenikumbusha jambo muhim kuna siku nikamwambia mbona kama kisa huku mbelen n cha kusadikika sana kwa jins navyoona mwendelez akaniambia ww n mwandish nikamwambia hapana na wala sijawah hata kuandika ila nasoma story nying sna akaniuliza unahis nn kitatokea mbele nikamwambia na pia nikamwambia itapoteza mvuto kufika sehem ya 50 kweli alirukia upande mwingine wa story ambayo kunabaadh ya matukio aliyakopy kwa story ya shigongo ya mwaka 2000naikumbuka ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…