lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,190
- Thread starter
- #741
Airpot bwana pale na mume wa mtu tukaachana! Kufika tu uturuki nakuta whatsup zake! Umefika salama! Ikawa mwanzo wa kuchat na kuchat! Chat zikajolea! Ujue sisis waru wazima hatuzungushani tunaenda direct to the topic!
Tukatumiana picha za watoto wetu, yeye mpaka ya mke wake kanitumia sijui nikienda kumroga kwa mganga nisiebde na majina tu, niwe na picha kabisaa kwenye kurusha kombora!
Raha ya mume wa mtu nae mtu wa familia! Lazima aulizie wanangu wanaendeleaje, kama wanae kweli vile! Afu majukumu kazoeaa sio vijanaa! Kukwepa kwepa majukumu basiii! Huyu mtu mzima mwenzangu sijakaa vizuri kanijichomekea pesa haijakata? Nikamwambia imepungua! Huyo western union!
Nikasema namna hii mbona tutawezana! Simtafuti mpaka anitafute yeye! Familia yake ipo Canada! Nimerudi bongo nae akawa kaja bongo! Akanitafuta! Sisi waru wazima hatuzungushani! Siku hio hio mechi ikapigwa! Kama kawaida yangu sifanyi makosa!
Yule kaka nilimpelekesha wima wima! Hana hamu na mimi! Akakolea mazimaaa mazimaaa! Akija bongo mi ndo mkewe wa hotelini! Bado kwanza sikutaka kumtambulisha kwa wanangu kama Baba mlezi! Nilimtambulisha kama Uncle!
Katika sisi single mamas hakuna tabuuu kama kulipata jitu likupende na wanao! Wanaume ni so so very extremly sefish! Nyie ndugu wasomaji wa kushindwa kumnunulia Lara 1, Amarula tu ya 32,000 kweli! Nyokolosti zenu kabisaa! Wanaume kupata utapata ila ndo design kama ya humu Jf! Lara nakuelewa kuandika koo limekukauka kau! Mxiuuuuuuuuu zenu!
Na mimi nimeachana na Dullah wanau!e nikawa napata sanaaa! Sema ndo free pumbunyo! Kuna moja nilikitana nalo kama sengery! Ni bank teller napoenda kiweka pesa! Linaona naweka million 15, 20 kwa wiki mara 5 au 6 likajua hapa zimooo! Thubutuuuuuu!
Akaanza kunitongoza mi nikawa namsikiliza! Ananiambia napenda sana wanawake wahangaikaji, yani ma fighter! Wapambanaji! Napenda mnoo mno! Heheheheeee! Nicheke kingeleza mieeeee! Nikamsikiza mashuduyake nikashitilia mbali huko!
Nikapata mwingine ananiambia naomba niongezee pesa ninunue gari! Nikamuuliza katika hio peaa wewe una bei gani kwanza ndo nikuongezee? Maybe una million 20 bado tano? Anajikanyaga kanyaga! Alikuwa anataka Crown! Nikamwambia wewe tafuta million 10 tu niletee zinazobaki najazia nakukabidhi gari! Bahati yake! Nasemajeeee ana bahati! Angeleta hizo 10 ndo nitoleee! mwenyewe baba ayangu mzazi kafa anatembea na miguu! Hakuwahi kumiliki gari! Kafe mbele! Yaani kabla ya huyu mume wa mtu ilikuwa balaaa sio kidogo!
Nashukuru mola nilivompata huyu kidogo akawa anasomeka! Anaweza hata kunipitia dukani tukawapitia watoto for movies! Hivo yaani! Very family oriented! Afu ni mtu na kampuni zake na mapesa yake kama yote! Sio wa wasiwasi!
Nika relax kabisaaa! Utasema na mimi nimeolewa! Nahangaika nini sasa! Wanok nok hawakukosekana oooh mume wa mtu mavi ya kuku! Nikawa mtu akilta ushenzy namkataaa kwenye maisha yangu! Wakabaki waliokubaliana na hali!
Mume wa mtu nikampanga anifungulie duka kubwa! Mjidukaaaa! Mall! Investment inakaribia one B! Nilikuwa namjaribu tu you know you never know! Akagoma akasema mall sio akili! Tununue nyumba sinza barabarani tubmoe tuweke duka kubwa hatari! Afu kodi hatumpi mtu! Yeye atanunua hio nyumba ataibomoa na kufanya interiordesign! Bila shaka kutaka mduka huo nimejipanga kimzigo! Nikamwambia ondoa shaka! Jamaniiii mume wa mtu alinikoleaaa huyu! Kweli akatimiza ahadi zake! Nikawaza mbona sikukutana nae mapema!
Kisicho riziki akiliki mara kama masihara Dullah kapata kazi ya mkurugenzi mamlaka ya mawasiliano! Boss kitambi meneja! Akaanza choko choko za kutaka kurudiana! Nikampiga stop! Akataka mtoto! Nikamwambia mtoto wako mmoja tu Islam! Huyu Ellah sio mwanao huna usemi!
Choko choko nichokonoe! Mchana anaweza kuzuka tu akachukia watoto wote kuwapeleka beach! Sawa ni vizuri habagui! Ila akaanza kuwatia sumu! Waongelee turudiane! Haswaa Islam! Mdogo ila ana gubu! Mara aseme anamtaka baba! Unaona kamwzeshwa maneno! Alinikeraaa! Nokamkalia kimyaaa!
Akaanza kunitongoza upya jamani eti ndugu wasomaji! Heheheeee! Mara aniletee maua dukani! Mara atume sms za mahaba! Ushubwada tu! Nikamkazia! Kimyaaaa! Akaita kikao cha familia cha usuluhishi! Mjomba akiwepo afu akawa kamtia pesaa za kutosha!
Mi nikawasikiliza nikatoa hoja moja tu! Yeye ndo aliniacha mimi! Kikao kikaisha kwa fujo kubwa sanaaa! Hapakuwa na muafaka! Familia ilishindwa in short! Akaja na mbinu mpya! Tuwe marafiki! Hata kama tumeachana tushazaa uadui hauna maana! Tulee watoto katika misingi ya kuheshimiana na upendo!
Niliona wazo zuri sanaa! Nikakubaliana nae! Ofcourse no need to be bitter! Lets just be good parents! Akaanza kuwa akitoka kazini anakuja pale, nikampa na chumba! Tena nikashukuru baby sitter wa bure! Naenda zangu kuliwa na mume wa mtu bila stress kuuliza mmelalaje huko! Ila no kupasha viporo!
Huku na huku akaonekana kastarabika! Akaanza mpaka ku date na mdada mdogo hatari! Akawatambulisha wanae! Akataka tufanye family dinner ili anita!bulishe na mimi! Nikakubali! Nilimhurumia tu dogo! Akashaurina mimi nimta!bulishe Bae! Nikaona sababu kaanza! Sio kesi! Na mimi next family dinner nikamualika mume wa mtu! Akawa mshkaji wakw kweli kweli!
Mara mke wa mume wa mtu kanitafuta! Nasikia umemteka mume wangu huko Bongo! Kama una shida ya mume nitakuombea Mungu akupe na wewe mume wako peke yako! Mi ni konki konki konkikwenye hii sekta! Nilikana futi 180 usawa wa bahari! Nikasema kwanza simjui huyo mtu! Na bwana sikumjulisha kimyaaa! Kama hamna kilichotokea!
Akaja kuishi Linda na Kyle hapa tuko peace na mume wa mtu! Walimkuta Dullah kaenda kozi Ujerumani! Mpaka waka ishaurimzalie huyu baba! Sio kwamba sitaki kumzalia! Ila watoto wa tatu bila ndo kweliii? Hapana nilitaka niende kwa step!
Ndoa bwana ni kitu cha ajabu sanaaa! Ukiwa umeolewa utaona a lot of single people! Yaani utajutia kufuja usichana wako kuishi na jitu lile ilhali wenzio wana enjoy maisha! Ukiwa single utaona a lot of happily married peoplempaka utajilaumi kwanini you did not try harder to make it work!
Dullah akaja kuhama akaniambia nataka kuoa! Nikamwambia oa! Akaniu
Iza mara 20 are you sure hutaki turudiane? Nikamwambia wewe oa! Anasisitiza Mozah kosa gani lisilo samehewa mi nataka kukuoa wewe! Nikagomaaa! Akaoa kweli! Tena safari hii alimwambia mama yake atafute mwanamke wamuolee mke kama familia! Wakamleta msichana toka kijijini kwao Tanga!
Baada ya Dullah kuoa akawa ana mpet mpet mkewe! Anamnunulia dhahabu kama zote! Nikimpeleka mtoto namkuta katuna ndani na mijoho yake ya malkia kama Sultana! Linalelewa tu! Kazi yake kula na kufanywa tu!
Nikajikuta natamani kuolewa tenaaa! Jamaniiii! Basi tu kumuona Dullah katulia na lile jianamke, akaota na kitambi, janamke mjamzito anamzalia juuu! Nikajiuliza sanaa kukataa kuolewa na Dullah nilifanya uamuzo sahihi au nilikurupuka? Nikawaza sijui nikajiozeshe pale pale mke wa pili? Nikaona ushenzi tu!
Ila nilitamani wanangu wapate baba full time! Wawe stable! Kuwe na mwanaume parmanent and comitted katika maisha yetu!ofcourse mume wa mtu hawezi! Nikasema nianze kutafuta ila simuachi mume wa mtu mpaka nimpate huyo bwana wa kunikubali na mitoto mi 2 kila mtu baba yake sio masihara mjue!
Nilimtafuta huyo mwanaume alipatikana sasa? Thubutuuuuiu! Ushenzi shenzi wao vile vile! Siku nikakutana na yule lawyer wa kina Linda na Kyle! Kwanza kwangu mdogo pili kimaisha kachoka! Ni mlokole so sio lawyer corrupt so kupata pesa kwakw mpaka impendeze Mungu ndo aipokeee! Ana struggle sana!
Akanikaribisha kanisani kwao! Mimi sina dini! Mama alikuwa mkristo na !zee muislam! Kwa hio kwetu dini zotetunavuruga vuruga tu! Na wanangu hivo hivo Dullah kamleta mwalimu wa Madrasa wa Islam ila na Ellah ane anasoma Coran! Tena anajua juzuhu kuliko Islam! Jumapili Ellah akifatwa kanisani na baba yake nae Islam anaenda anaimba mapambio hatariii! Mungu ni yule yule tu wabaya sisi binadamu!
Sikutaka kwenda kanisani sababu kwanza nazini na mume wa mtu! Afu pili biashara natumia sana ushirikina! Naenda kwa waganga hatari! Mume wa mtu nimemloga sanaa tu mbonaa! Sasa kwa hali hii naendaje churuch ndugu msomaji! Si lazima nipagawe pepo! Sikwendaaa! Ila nilimdanganya nitakuja!
Siku akapita dukani! Akaniuliza mbona hukuja! Nikajitia nilibanwa na majukumu! Akaniambia dukani kwako siwezi kukaa kuna shirki nyingi sanaa! Nikajiteta tunaweka ulinzi mtumishi maana si unajua biashara hizi watu hatupendani! Ulinzi tu kidogo sio mbaya !
Aka iuliza hii hirizi umeitoa wapi! Hio moja ndugu msomaji pale kulikuwa na hirizi zaidi ya 15 zimetegwa tegwa! Nikamwambia Congo Kinshasa hio! Inakuwa inavuta wateja! Akaniambia naomba niichome! Nikawaza aichome tu bado ziko 14 haikaaribika kitu! Akaichoma moto!
Akaniambia hii ndo ilikuwa inakufanya usiolewe! Nikasrukaa kivipi! Akasema i
Ikuwa inavuta mvuto wakowa ndoa na kuuweka kwenye biashara! Usingeolewa kamwe! Nilistukaaaa sanaa! Nikamwambia zipo 14! humu ndani! Akazitoa zote akazichoma zote! Tukaenda mpaka nyumbani pale ndo nilifanya mazindiko sikumbuki mangapi! Nimezindika mali, nimezindika watoto, nimezindika biashara, nimejizindika mwenyewe! Balaa tupu! Nimezika mbuzi na kondo sijui ngapi!
Akapasafosha na damu ya yesu weeeeee! Akataka kuondoka! Nikamkatalia! Mtumishi tumechoma zana za watu unaniachaje nilale mwenyewe uchi mbele ya adui zangu? Itabidi ikae hapa hapa na Yesu wako! Nililala roho mkononi
Kesho akanipeleka kanisani kwao! Nilianguka chinj nguvu za giza! Nikaombewa wiki 2! Ndo kuwa sasa safiii! Mimi na wanangu wote tukaokoka na kumkiri Yesu alie hai! Mume wa mtu nikaachana nae! Nikamwa!bia tu sasa nimeokoka hauwezikuendelea!
Mtumishi bado anaishi kwangu anatoa huduma! Maana mwanangu wa kiume alikuwa na mapepo balaa! Mambo ya kina Dullah Tanga huko! Nikamuomba anipiganie yatoke yoteeee! Haikuwa rahisi ila ikawezekana akawakanisani haanguki tena wala hayapandi tena!
Kukaa pale kwangu tulikuwa hatuonani sanaa! Maana natoka nae anatoka! Maybe mida ya kanisani au jioni ibada za nyumbani ndo tunaonana! So watoto walimzoea sanaaa ile sanaa ila mimi sio kivile!
Siku hio akaniambia Mozah baada ya kufunga na kuomba sanaaa juu ya jambo hili Mungu amenionesha wewe ndo mwenza sahihi kwangu! Mmmmmh! Naomba nikuoe kama utanipa idhini yako! Mmmmmh! Nilipata mtihani sanaaa! Mnoo mnooo ndugu msomaji!
Kwanza huyu mlokole hana maisha yoyote! Na tangu tuondoe zile mambo business imekuwa ngumu balaa! Wanangu nimewahamishia shuleza bei poa! Apartment nimeipangisha nimehamia shamba huku Tegeta ile ndp inanipa ada za wanagu! Maisha yashanikaba koo sema mimi mbishiii! Nafuga mpaka kuku!
Huyu mlokol ndo badp lawyermtembea kwa miguu! Hio ndula yake ukiiona utachoka wewe msomajj! Umkute mjini na kibegi chake! Utanihurumia! Kiukweli sikuwa na stimu kabisaa kabisaa nae wala maisha yanayokuja pamoja nae! Hapo nakoleza maombi Mungu nimebadilika nipe bonge la bwana!
Naamini hatari Mungu atanipa Mume ambae atanip maisha nilio zoea ya apartment! Hapana hio kusema Mungu kamuonesha ni mimi kakosea sio bure! Nikamwambia ngoja na mimi niombe kwanza nipewe majibu kama yako!
Usikunikaota nimefunga ndoa na yule mlokole! Nilienda kuangalia katuni sebleni sikuataka kulala tena! Sasa ndo ndoto gani hizi! Sikumwa!bia! Nikaiota ile ndoto mara 3! Akiniuliza namwa!bia bado sijapewa mjibu tukazane kuomba!
Kyle wa intoxicated! Alidataaaa! Analewa lewaaaa! Nikamkaribisha kwa Yesu! Haikiwa kazi maana ashakuwaga kwa Yesu zamani! Nikawa namfatilia karibuuu mpaka akaweka nadhiri ya kuacha ulevi na uzinzi! Akawa mtu safi! Akaachana na Hans na Ghost na takataka zote!
Akapanga nyu!ba yake na mwanae! Ushoga wetu ukarudi upyaaaaa! Nikamdokeza la mlokole! Akaniambia kubali! Mimi Da Mozah kwa sasa nikipata mtu wa Mungu mwenzangu siwaziiii! Mungu hakosei! Mbona mzuriii sana kaka wa watu! Ana heshima! Ana wapenda wanao na most of all ana hofu ya Mungu! Mtaishi kwa furaha sanaa nakwambia!
Mimi nimeishi na wale. Wanaume wa dunia! Wameniharibia maisha! Hawana hofu ya Mungu! Ni umalaya na unzinzi juu ya umaluuni! Na pesa zote tulizokuwa nazo furaha haikupatikana! Kubali!
Nikamwmabia lakini simpendiii! Ananiambia utampenda mianza kuishi wote! Mimi namjua ni mtu mzuri sanaa! Hutojutia! He will never hurt you! Nilipata mashaka sanaa! Nikaamua kumwambia nimekubali! Akamwambia mchungaji! Mlokole huyuhamna kufanya mpaka ndoa ooooh! Nikawaza mara namkuta kibamia baada ya ndoa inakuwaje? Nikamuuliza Kyle! Akasema inakuwa hivo hivo utakizoea!
Akajakutoa posa, wakristo waliipokea waislamu wakagoma! Ila mimi mtu mzima sipangiwi! Nikawa naona soo kufanya sherehe! Kwanza mwanaume mdogo! Nikamwambia tufunge tu ya saa 12 asubuhi! Akanikubalia! Nilimwambia tu Kyle aje walau tupige picha! Nikajiandaa na wanangu, Nilivaa simple the wedding was a little late anyways! Mr! alivaa suit! Na wasimamizi wa kanisani pale! Tukafunga!
Baadae Kyle alituandalia dinner tukaenda! Walikuwepo watu wengi sanaa! Katika zawadi Kyle akatupa offa ya kwenda Dubai! My dream wedding jamani! Ua sikurusha nilimkabidhi Kyle mkononi kama mbio za vijiti! Tuliprocess tukaenda Dubai!
Kiukweli na huyu mume dogo tunapendana sanaa! Na kikubwa tuna hofu ya Mungu ndani yetu na tumeridhika na maisha yetu! Sina tena tamaaa ya fisi! Hatuna kikubwa ila tumeridhika! Tunaheshimiana! Yupo for me and my kids! Hicho hicho kidogo kikipatikana tuna ko share kwa upendo na amani kubwa!
Nikawa namshawishi aje tufanye biashara! Akaniambia amepata ujumbe akasomee uchungaji! Ili niboaaa ndug msomaji sio kidogo! Nikamshirikisha Kyle shoga angu kiimanina mdogo wangu wa hiari! Akaniambia sio kitu kibaya! Mruhusu! Upendo hauhukumu, upendo huvumilia, upendo hustahimili! Muache apite njia zake! Mimi moyoni sijakubali bado utajiri ndo basi tenaa ndugu msomaji? Aaaah wapi! Ila nilimruhusu!
Akasomea! Akamaliza! Akarudi! Akapata maono anatakiwa aanzishe kanisa! Hapo ndo nikaona majaribu ya ndoa! Nikakubali tu kinafiki! Maisha yakawa magumu magumu ada zinanipelekaaa! Nikaanza kuingiwa shetani! Ila Kyle alinikopesha deni likawa halitamkiki sasa! Bwana ndo haeleweki kabisaa! Nishaishika namba ya mume wa mtu mara 2 kutaka kuipiga! Ila sikupiga
Nikaanza kuomba kuikomboa biashara na uchumi wangu! Niliomba sanaaa na kufunga! Sikupata majibu! Mume akaanza kanisa! Kanisa lenyewe ni frame moja tu kama ya duka! Nilimpiga tafu kununua vitu kutengeneza Altare na ma bench ya kukalia! Nilijipa moyo maybe its gonna blow and be big!
Akaanza! Siku ya kwanza nilikuwa mimi na Kylena watoto wetu na yeye! Hata marafiik zake hawakuja! Alisoma ibada hivo hivo ya watu wa 3! Kiukweli uvumilivu ulianza kunishinda! Akaniambia sasa anaanza kuhubiri mtaani! Wale walokole wanaopita na speaker na MIC! Nikasema huko atanisamehe kwa kweli sitompa support!
Maisha ya ndoa yakawa changamoto kwasababu nilianza kumdharau kiukweli na kumuona mwanaume mngese tu! Ila yeye ana Mungu hata nikiwa mkali na katili kwakw anakuwa the bigger person anajishusha yanaisha!
Biashara zangu zikawa ngumu ngumu mnooo! Kyle akaniambia labda uende kwa nabii! Ni kama kwa mganga ila ni nabii! Kama Sauli alitumia snaa manabiii kunajimu na kujua matatizo! Nikaenda kwa nabiii! Akaniambia Mungu kasema hatoibariki hio biashara yako kwasababu umeigeuza Mungu wako na madhabau yako nyingine! Unaiabudu! Unamdharau mtumishi wake mumeo anaemtumikia kwa moyo wote sababu ya hio biashara! Hatoibariki wala haitafanikiwa kamwe! Tena funga hio biashara mara moja! Nilichoka sanaa ndugu msomaji! Laiti angekuwa binadamu ndokase!a hayo ningepambana nae man to man! Ila sababu ni alie juu Poa tu!
Biashara ikafa yenyewe natural death! Huku kanisa halisogeiiii! Waumini tuko 10 tu! Sadakana akija Kyle afadhali asipokuja balaa! Ndo tunategemea fungu lake la kumi kuishi. Roho yangu ilifadhaika! Na ilifadhaika zaidi baada ya kujua nina mimba ingine tenaaa ya mlokole!
Nikaanza kucheza foul! Nilimkataza kabisaa Kyle kuongea na ghost wala kuwasiliana nae sababu alikuwa mtumwa wa uzinzi! Kwa kujua Kyle ananiamini nikamwambia nimepewa ujumbe Ghost zamu yake ya kuokoka imefika! Na wokovu wa Ghost utapitia kwa Kyle! She trusted me ndugu msomaji! Kumbe napiga hesabu sadaka za Ghost si habaaa!
Nikamface Mjeda! Najua issue yake kupitia Kyle! Nikamtabiria ataolewa na Sam! Mbingu ndo zimesema! Kumbe ni utabiri wangu binafsi ndugu msomaji! Tena nikamjaza tolea sadaka kubwa sanaa hili jambo kuhakikisha linatimia! Alitoa sadaka ya million 10!
Mume akafurahi naleta members wapya! Akaniambia mke wangu nashukuru una ni support na hii karama yangu umekuwa kama baraka kwangu! Niliendeleza utapeli hivi hivi ndugu wasomaji! Sina dini wala kabila natapeli kutumia biblia takatifu acheni tu! Mpaka maisha yetu yakarudi kuwa hali flani nayopenda mimi!
I capitalized on peoples problems, false prophecy ndo usiseme! Nawachota watu psychology! Mpka Kyle ndo nilimpa false prophecy mpaka nikaanza kujikoroga kidogo astukie! Maana mara ya kwanza nilimtabiria atapata mwanaume ana pesa mnoo mnooo! Si ndo vitu wasichana wanapenda kusikia! Nikamwambia tena naoneshwa yuko marekani! Baadae nikajisahau nikaja kumtabiria ataolewa na ghost! Nilitka anipe sadaka kubwa nikalipe ada mie! Akaniuliza which is which mbona kuna prophecy 2 zinakinzana! Nikamwambia the guy was ghost sema ujumbe wa mara ya kwanza nilivoletewa ulikuwa un cleaer! Nilinusurika hapa! Nikamtabiria mjeda Sam atatoka kabla ya mwaka kuisha, nikala sadaka! Ghost alikuwa mtoaji tu by nature so sokusumbuka kumtabiria! Ila tamaa zangu kutaka atoe sadaka kubwa nikamtabiria atamuoa Kyle! Atoe sadaka kubwa! Akaniambia ingekuwepo sadaka kubwa ya kuzuia hilo angetoa ila sio ya kufanikisha! Thubutuuuuuu! Nikaijosa pesa ya ghost!
Mungu hachezewi, Mume akaota anapewa ujumbe na Mungu "Funga hilo kanisaaa limeanzishwa kwenye misingi mibovu! Sitolibariki kamwe na silitaki" Alifadhaika snaaa moyoni kwanini Mungu aseme vile! Just mambo yameachia kidogo kwanini iwe vile? Kosa lake ni nini? Mi kimyaaaa! Nikamshauri tusifunge wala nini Mungu atatusamehe tu mbeleni!
Ujumbe ukawa unajirudia rudia! Mwisho Mr akasema anafunga! Na akafunga kanisa rasmii! Nikajua tumekufa njaa ndo basi tenaaa!
ITAENDELEA JUMA NNE